SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 462
- 740
Sio kweli, speaking from experienceVijana hasa kutoka familia za kawaida sasa hivi wasome ufundi na stadi nyingine za kazi zinazo lenga kujiajiri wenyewe:
Ajira zimebaki kwa watoto wa vigogo tu:
Bila konection hakuna ajira rasmi za umma:
Na akomae kweli kweli utumishi this time hawachekeshi! Ni multiple lakini si mchezo! Logic/reasoning za kutosha!Kama alivyosema Seran hapo juu. Maswali ya written sahivi ni changamoto. Huwezi sema asome nini au asisome nini.
Ndani kuna siasa, computer, hesabu, etc. sema uzuri ni ya kuchagua A B C nk.
Tuonamuombea apate, akifika oral itakua poa sana.
Kuna maswali ya shortcuts za kwenye PC yametoka juzi kati hapa. Ni moto. Ata me na ukorofi wangu wa PC ningetoka kapa. Sema ningepata shortcut moja kuna mtu anaitwa Chief-Mkwawa ameweka kama profile picture nayo ilitoka agu nishawahi kujaribu. 😂Na akomae kweli kweli utumishi this time hawachekeshi! Ni multiple lakini si mchezo! Logic/reasoning za kutosha!
Nilikutana na swali la ukitaka kufuta file unabonyeza CTRL na wapi, lingine linataka kerefu cha URL baba🙌🏾🥲Kuna maswali ya shortcuts za kwenye PC yametoka juzi kati hapa. Ni moto. Ata me na ukorofi wangu wa PC ningetoka kapa. Sema ningepata shortcut moja kuna mtu anaitwa Chief-Mkwawa ameweka kama profile picture nayo ilitoka agu nishawahi kujaribu. 😂
MtaMaswali ya sasa ni mfumo wa aptitude test, yanabase sana na uelewa (general knowledge) wa kada husika ajifunze current affairs na mambo yanahusiana na nida, logic na reasoning zaidi!
Mkuu hayo mambo atakutana nayo akienda Oral, ila kwa written 40% ni Cross cutting issues vitu kama haki za binadamu, ukuaji wa technologies na uongozi bora, 10% ni hesabu za kupima uelewa wa mtu kwenye hesabu topics za kawaida tu kina probability hutakutana na kina differentiation, integration na zingine, % zilizobaki wanacheza na kada husika.Hongera sana kwa dogo.
Nakupa possible hapa akifail kwenye written asikusumbue tena😁.
Jambo la 1 kabisa anatakiwa kuijua NIDA vizuri (Ilianzishwa lini ikiwa ni pamoja na kirefu chake).
2. Majukumu ya NIDA (Ingia website ya NIDA concentrate pale)
3. Vigezo vya mtu kupata NIDA
-Kuanzia miaka 18 na zaidi
4. Kina nani wanaopaswa kupata NIDA?
- Raia wa Tanzania
- Wakimbizi halali
- Wageni wakaazi
5. Nyaraka zipi zinahitajika ili kupatiwa NIDA?
- Cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha shule
- Kadi ya NHIF
- Kadi ya mpiga kura
- Tin namba
6. Wadau muhimu wa NIDA ni wapi?
- Uhamiaji
- Serikali za mitaa
- Rita
7. Je, ikitokea mtu amepoteza kitambulisho cha NIDA afanye nini?
- Anahitaji kupata loss report na malipo kufanyika NIDA kupitia control number.
MOTTO: Jisajili tukutambue, tukutambulishe.
Yeye azingatie hili possible, mengine atajazia kwa ufahamu wake (Cross cutting issues).Mkuu hayo mambo atakutana nayo akienda Oral, ila kwa written 40% ni Cross cutting issues vitu kama haki za binadamu, ukuaji wa technologies na uongozi bora, 10% ni hesabu za kupima uelewa wa mtu kwenye hesabu topics za kawaida tu kina probability hutakutana na kina differentiation, integration na zingine, % zilizobaki wanacheza na kada husika.
Okay sawa mkuuYeye azingatie hili possible, mengine atajazia kwa ufahamu wake (Cross cutting issues).
Ilikuwa position gani hiyoNilikutana na swali la ukitaka kufuta file unabonyeza CTRL na wapi, lingine linataka kerefu cha URL baba🙌🏾🥲
Tutorial ass II WIIlikuwa position gani hiyo
Sasa hii ni written tu bado oral, na oral maswali si chini ya ma5 ilo la introduction ni la kwanza tu yapo yanayokuhusu chini yake🤦🏽♀️Vijana kazi ipo.,........
Mimi nakumbuka interview yetu ilikuwa swali moja tu!!!!
Introduce yourself. Na tulipita asilimia karibu 90.
Kuna interview mdogo wangu alienda aliniambia hivyo hivyo.Sasa hii ni written tu bado oral, na oral maswali si chini ya ma5 ilo la introduction ni la kwanza tu yapo yanayokuhusu chini yake🤦🏽♀️