Nafasi za Kazi Ajira Portal

Nafasi za Kazi Ajira Portal

Huyo mdogo wako yuko wapi na ni mdogo kiasi unatakiwa kumhangaikia namna hii?
Unamlemaza Mkuu, sijui akikosa utamhangaikia hivi mpaka lini.
 
Ni wajibu mkuu wala sio kumlemaza, naamini hata wewe kuna watu either wanakutegemea au kupitia wewe wameweza kufika hatua fulani kwenye maisha yao!
 
Sio kweli, huyo kijana yeye ndo alipaswa kua humu akitafuta taarifa zinazomfaa.

Yani mtu mnasomesha mpaka anamaliza chuo bado mnamtafutia na possible za interview, hii inamaanisha akili ya kujitegemea hana mpaka sasa.

HIKI KIZAZI CHA WASOMI WA LEO NI MSIBA.
 
Kazi ipo! Mwenyewe nimesoma
French primary lakini chuo kikawa kinanipiga chenga! kujitia ujuaji na huu uzee sijawahi wenye kumbukumbu nzuri hongereni!
Si heri wewe ulisom French teeena primary. Miye niliikuta form one na nikaipiga chini.
Miye sina hata mpango wa kuwa na kumbukumbu maana hazinisaidii kwa ss ni majukumu tuu yananiendesha.
 
Mimi naifahamu introduction yake yote kuhesabu, majina ya vitu kama siku,week,miezi,pesa ‘na viungo vya mwili, kujitambulisha, kuuliza maswali, kusema muda na mengine baadhi
 
Hongera namuona kid home anajua mengi aisee.
 
ahzan yaweke tu hapa itasaidia pia na wengine kujiandaa vyema!
Hello nashindwa kuweka maana ni digital copy,,hata mimi pia mwenyewe siwezi kudownload, kama kuituma ni natumia hapo hapo kwa email online,,maana pia nimetumiwa kwa njia ya email
 
Screenshot ututumie hapa mkuu!
 
Back
Top Bottom