leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Anatosha Sanaa huyoAnaeomgea hata kilugha tuš¤£
Anatosha Sanaa huyoAnaeomgea hata kilugha tuš¤£
Kama huna mambo mengi mwenza utampata tu!!!!! Kuwa mstahimilivu.Kumbe sifa ndio hizi? Mbona kama zinakaribiana na sifa za Munguš¤£š¤£š¤£ unapata wapi mwanaume wenye haya yote! tena kw usawa huu?? Duhh sijawahi kuwaza.. mimi ninavyojua mwanaume yoyote atakayekuheshimu na akaona unafaa kubeba nafasi ya mke na yeye akaweza kuwa mme na bread winner mengine ni majaaliwa! Kikubwa tu awe mwenyewe utu hata mapenzi yakipungua hawezi kukumostreat basi! Mambo ya urefu wa mtu kama tutakuwa tunamkata vipande tunapika! Mali zinatafutwa kikubwa ndio hicho mtu mwenye upeo hahitaji kuwa na mambo yote hayo ili kufanikisha ndoto zenu! Mnakutana kujenga familia au kuanzisha mradi? Imekaa kama kudangiana hiiš
Sasa mimi yananihusu nini na mtihani hauhusiani na hayo mambo!Sasa hapo ulishindwa nini?
Amen to that sizKama huna mambo mengi mwenza utampata tu!!!!! Kuwa mstahimilivu.
HahahaSasa mimi yananihusu nini na mtihani hauhusiani na hayo mambo!
Mbona parefu jamani madogo watazeeka home ujue.Hapo utumishi dogo akiwa na 2M anapata kazi on the spot
Duuuh kazi kweri kweri bi dada.Hapa nazeeka bila ndoa,, mi sina vigezo mahitaji anaepumua vizuri tu.
Pole bwana nimejisikia vibaya ujueHapa nazeeka bila ndoa,, mi sina vigezo mahitaji anaepumua vizuri tu.
Asante sanaPole bwana
We kama una bro wako niunge tu ntavumilia ndio maishanimejisikia vibaya ujue
Weeee muongo ulisema ulifunzwa kula ugali na mumeo. Unakumbuka. leo dada did you remember.Asante sana
We kama una bro wako niunge tu ntavumilia ndio maisha
kama una background nzuri ya primary education, hayo maswali ni mepesi sana.Nilikutana na swali la ukitaka kufuta file unabonyeza CTRL na wapi, lingine linataka kerefu cha URL babašš¾š„²
Unazungumza primary gani sasa ww jamani hizi hizi za kayumba medium. Ambapo hata komputer hazipo.kama una background nzuri ya primary education, hayo maswali ni mepesi sana.
Sawakama una background nzuri ya primary education, hayo maswali ni mepesi sana.
Kazi ipo! Mwenyewe nimesomaUnazungumza primary gani sasa ww jamani hizi hizi za kayumba medium. Ambapo hata komputer hazipo.
elewa neno background nzuri. Humu comprehension ina changamoto sana.Unazungumza primary gani sasa ww jamani hizi hizi za kayumba medium. Ambapo hata komputer hazipo.
Hauko serious dada, akikukagawia wawili unipe mmojašUwiiiiiii!!!!!!!
Nilisahau ku turn on married button
Tulia umepata mdogo wangu.Hauko serious dada, akikukagawia wawili unipe mmojaš