Yani sasa hivi utasema wanatafuta sijui afisa usalama wa ikulu🙌🏾 Kama huna akili kabisa hutoboi aisee! Unaweza kufika oral na ukabaki una hang😓Kuna interview mdogo wangu alienda aliniambia hivyo hivyo.
Mi na miswaki yangu ya blue hii karatasi yangu wangeitupa huku wanafyonza.
Hapana,,, niliwahi kukutana na mama mmoja yuko huko kwa wapanga ajiraYani sasa hivi utasema wanatafuta sijui afisa usalama wa ikulu🙌🏾
Sisi tuliokrem singular na prulo huko oral tungefukuzwa kwa maneno ya kuvunja moyo kama ya salama wa BSS.Kama huna akili kabisa hutoboi aisee! Unaweza kufika oral na ukabaki una hang😓
Huo ni ukweli na wameshaongeza vigezo aisee ni gombania goli!Hapana,,, niliwahi kukutana na mama mmoja yuko huko kwa wapanga ajira
Akasema hivi.
Shida wahitimu ni wengi mnooo na wengi wao Wana gpa Kali lakini hawana ufahamu.
Na Kuna mkakati wa kuongeza vigezo zaidi,, kwa sababu baadhi ya sehemu wanapelekewa watu ambao uwezo wao kiutendaji ni mdogo sanaaa. Malalamiko ni mengi
🤣🤣🤣Sisi tuliokrem singular na prulo huko oral tungefukuzwa kwa maneno ya kuvunja moyo kama ya salama wa BSS.
Bora iwe hivyo.Huo ni ukweli na wameshaongeza vigezo aisee ni gombania goli!
🤣🤣🤣
Mimi siamini katika upendeleo labda oral ila huku kwakweli ni mtihani!Bora iwe hivyo.
Kazana mdogo wangu utapata. Hata kama Kuna upendeleo lakini vigezo vitakupatia nafasi
Upendeleo upo kabisa......Mimi siamini katika upendeleo labda oral ila huku kwakweli ni mtihani!
Hata huko private sector fanya kwa malengo kabla majukumu hayajawa mengi.Naelekea kuchoka, itabidi nikomae tu hukujuku private sector 🤧
Dahh tuna kazi tusio na upendeleo piaUpendeleo upo kabisa......
Kwa miaka hii nafasi za upendeleo zimepungua si nyingi sana.
Yes nina biashara, na huwa sivai mawigi, mimi mpambanaji sina muda wa kuslay hata siku moja!Hata huko private sector fanya kwa malengo kabla majukumu hayajawa mengi.
Umeshaanza kujitafuta nje ya kazi?????
Achana na lesi wigi la laki 500000.
Hahahha 40s itanikuta nimejipanga haswaa!!Fumba macho hiyo ya wigi nunua heka moja panda michai chai.
Baada ya mwaka mmoja kila siku hukosi 20000.
Changamka usije kuingia 40s kizembe
Hapo, hapooo🙌🏾Na unavyozidi kukaa mtaani kichwa kinasahau kila kitu.
Usililie upendeleo bahatiDahh tuna kazi tusio na upendeleo pia
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Yes nina biashara, na huwa sivai mawigi, mimi mpambanaji sina muda wa kuslay hata siku moja!
Hapa tuna uhakika sasa wa teenagers wetu kulelewa salama na mkwilima wetu atazeeka vizuri.Hahahha 40s itanikuta nimejipanga haswaa!!
Umesema vyema Dada’ake!Usililie upendeleo bahati
Hahaha teenegers sawa, mkwilima hiki kizazi ni kigumu sana! Labda tutaokota mayu😓🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hapa tuna uhakika sasa wa teenagers wetu kulelewa salama na mkwilima wetu atazeeka vizuri.
Wapo bwana hata sio wa kuokota.Umesema vyema Dada’ake!
Hahaha teenegers sawa, mkwilima hiki kizazi ni kigumu sana! Labda tutaokota mayu😓
Hivi dada mimi huwa nasikia sana hili swala ila sijawahi kuelewa! Hivyo vigezo ni kama vipi?Wapo bwana hata sio wa kuokota.
Shida nyie vigezo vyenu vya ajira portal.
Awe msomi kuanzia degreeHivi dada mimi huwa nasikia sana hili swala ila sijawahi kuelewa! Hivyo vigezo ni kama vipi?
Kumpata wenye vigezo vyote labda umchonge wako ndani.Tajiri
Tall and handsome
Mcha Mungu na mpole
Asinywe pombe
Akikuudhi apige goti
Husband material
Awe na garage ya Magari mama tunachagua tu
Vacation Dubai hamna hamna Zanzibar
Ajue kutafuna vizuri
Awe anajua hisia zako,,, yaani ukinuna kidodo aje na bunches of flowers
Ukibeba mimba awe anaidekeza ( anuse kwamba, ahangaike kijana watu yaani mpaka akome.
Akupeleke kanisani kila jumapili
Muwe wote kila saa
Akuposti kila mara kama tangazo la msiba.
Nasikiaga vitu kama hivyo
Hapa nazeeka bila ndoa,, mi sina vigezo mahitaji anaepumua vizuri tu.Kumpata wenye vigezo vyote labda umchonge wako ndani.
Kumbe sifa ndio hizi? Mbona kama zinakaribiana na sifa za Mungu🤣🤣🤣 unapata wapi mwanaume wenye haya yote! tena kwa usawa huu?? Duhh sijawahi kuwaza.. mimi ninavyojua mwanaume yoyote atakayekuheshimu na akaona unafaa kubeba nafasi ya mke na yeye akaweza kuwa mme na bread winner mengine ni majaaliwa! Kikubwa tu awe mwenyewe utu hata mapenzi yakipungua hawezi kukumistreat basi! Mambo ya urefu wa mtu kama tutakuwa tunamkata vipande tunapika! Mali zinatafutwa kikubwa ndio hicho mtu mwenye upeo hahitaji kuwa na mambo yote hayo ili kufanikisha ndoto zenu! Mnakutana kujenga familia au kuanzisha mradi? Imekaa kama kudangiana hii😃Awe msomi kuanzia degree
Afanye kazi TRA, Bandari, Bot, hamna hamna awe mkurugenzi.
Atoke royal family akibidi awe mjomba wake ni bakhresa ay Gsm
Tajiri
Tall and handsome
Mcha Mungu na mpole
Asinywe pombe
Akikuudhi apige goti
Husband material
Awe na garage ya Magari mama tunachagua tu
Vacation Dubai hamna hamna Zanzibar
Ajue kutafuna vizuri
Awe anajua hisia zako,,, yaani ukinuna kidodo aje na bunches of flowers
Ukibeba mimba awe anaidekeza ( anuse kwamba, ahangaike kijana watu yaani mpaka akome.
Akupeleke kanisani kila jumapili
Muwe wote kila saa
Akuposti kila mara kama tangazo la msiba.
Nasikiaga vitu kama hivyo
Anaeongea hata kilugha tu🤣Hapa nazeeka bila ndoa,, mi sina vigezo mahitaji anaepumua vizuri tu.
Sasa hapo ulishindwa nini?Nilikutana na swali la ukitaka kufuta file unabonyeza CTRL na wapi, lingine linataka kerefu cha URL baba🙌🏾🥲