Nafasi za kazi Graduate Engineers 2 na Driver 1

Isekalaa

New Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Wakuu kuna nafasi za kazi .

Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia mwaka 1979 hadi 1988. Tupeane mawasiliano DM.
 
Mkuu akihitajika graduate engineer ( computer engineer) nishtue mkuu
 
Wakuu kuna nafasi za kazi .

Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia mwaka 1979 hadi 1988. Tupeane mawasiliano DM.
Kwa hiyo mkuu tuliozaliwa 90s hapa tumeshaangukia pua
 
Water technician?. Ni course mpya?.
Ohooo, syo mpya
Course yake n Water supply and sanitation engineering, inatolewaaa chuo Cha maji Toka miaka ya 70 na kitu, pia inatolewa chuo Cha DIT, pia kw Sasa intolewa Singida tawi la chuo Cha Maji

Kwa ujumla ni Plumber au fundi Bomba ila yeye anakuwa na NTA level 6. Kule veta inaishia trade test au NTA level 3 tu.
 
Hio naifahamu mkuu, na najamaa zangu wengi wameajiriwa taasisi za maji, lkn ulivyosema Water technician nikashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…