Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III - NAFASI MOJA (I)
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamazi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii, Hombolo Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Majukumu ya Mtendaji wa Kijji Daraja la III
Kwa mujibu wa ngazi ya Mshahara wa Serikali yaani TGS B kwa mwezi.
MASHARTI YA UJUMLA
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga,
S.L.P 22, Mahenge/Ulanga
LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA ULANGA
Tangazo hili pia linapatikana;-
Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga
www.Ulangadc.go.tz

- Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
- Kusimamia ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
- Kuratibu na kusimamia upangaji wa Utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji.
- Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
- Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
- Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishajI mali.
- Kiongozi wa Wakuu wa vitengo vya kitaalamu katika Kijiji. Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Vijiji.
Kwa mujibu wa ngazi ya Mshahara wa Serikali yaani TGS B kwa mwezi.
MASHARTI YA UJUMLA
- Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi kwenye Kijiji chochote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga.
- Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 – 45.
- Mwombaji awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai au kufungwa jela.
- Maombi yaambatane na wasifu wa mwombajI CV.
- Maombi ya ambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha ndogo (Passport Size) ya hivi karibuni.
- Testimonial, Result Slip, Provisional Result, kiapo cha kuthibitisha umri wa kuzaliwa HAVITAKUBALIWA.
- Barua ya maombi iandikwe kwa mkono.
- Waombaji ambao walisoma nje ya nchi vyeti vyao vya Taaluma vifanyiwe ulinganifu na TCU na NECTA na majibu ya ulinganisho yaambatanishwe kwenye barua ya maombi ya kazi.
- Waombaji waliowahi kuacha kazi, kuachishwa kazi au kufukuzwa kazi hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama Ana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi cha kuajiriwa upya.
- Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/03/2020 Saa tisa na nusu Alasiri.