Aaah mwakani mbali sana aise...waachie mapemaHiii itakuwa. Mwakan
Asijekimbia tu madosoVijana hawana subira hawa...wakiingia chomboni wataweza kweli kustahimili mambo
Pole sanaHii wiki ikiisha jamaa wa ikulu hapokei simu yangu nitaweka hata utambulisho wake full mpaka miamala yote ya milioni 1 yangu [emoji22][emoji22]
hahaaa huyu jamaaHii wiki ikiisha jamaa wa ikulu hapokei simu yangu nitaweka hata utambulisho wake full mpaka miamala yote ya milioni 1 yangu [emoji22][emoji22]
Kanipuna mihera yangu one milionAcha hzo wewe sasa unataka kutoa identity yake ili iweje sasa.
Nikipata hata uluten usu......nadhibiti airpot na redio...ya taifa then nachukua udhibitiVijana hawana subira hawa...wakiingia chomboni wataweza kweli kustahimili mambo
Asante saanaPole sana
Kanitapelihahaaa huyu jamaa
Jeshi sifa uvumilivu potiKanitapeli
Poti mfwende hujapachoka mtaani hadi unasema CCP kwa moto kaka wakati wenzke tunasema ata PCCB wakija tunasinya ata kiwira tunasinya yani ata fire wewe unasema CCP miyeyushosoma gazeti la mwananchi na raia mwema la tarehe ya leo. Halafu fanya reference ya kipindi cha chumvi hata yutube kwa clarification zaidi .polisi kwa moto mzee
Kwani umesikia wengine kozi wameanza? Kama jibu ni hapana we endelea kusubiriKanipuna mihera yangu one milion
Sikubali mimiJeshi sifa uvumilivu poti
SawaKwani umesikia wengine kozi wameanza? Kama jibu ni hapana we endelea kusubiri
information tuu mkuuPoti mfwende hujapachoka mtaani hadi unasema CCP kwa moto kaka wakati wenzke tunasema ata PCCB wakija tunasinya ata kiwira tunasinya yani ata fire wewe unasema CCP miyeyusho
Wenzenu wakiwa wanaomba magereza nyie mlipotezeaAaah mwakani mbali sana aise...waachie mapema
Magereza niliiomba pia mzee,nilikatwa kama sikuaapply vileWenzenu wakiwa wanaomba magereza nyie mlipotezea
Mara paap mwaka unakata mambo kimya ,[emoji3]
Magereza usahili wao kigoma ulikuwa ni wa haki mpaka raha saanaMagereza niliiomba pia mzee,nilikatwa kama sikuaapply vile