Ndio maana wasomi wanachukuliwa wachache wengi wanataka kula bata ikiwa hii kazi siyo ya bata,ndio Sababu ya kuwa na Askari wazembe waoga na vitambi vikubwa .mkuu wa majeshi inabidi atoe changamoto kwa vijana kuwapeleka hata Somalia Congo wakae vizuri Zaid kiuhalisia .Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuwa askari unauliza mshahara mkubwa.. ikiwa mshahara mdogo utafanyaje..Lakini je pamoja na kuanza na lindo hivi mshahara wake si analipwa kutokana na taaluma yake au ipoje hio mkuu,tuweke sawa hapo [emoji4]
Hospital ya police iko wapi na inaitwaje?Kuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Kurasini wana Hospitali Mkuu,kiufupi wanazo sehemu mbalimbali..Hospital ya police iko wapi na inaitwaje?
Vijana mliambiwa mtulie humu ndaniKuna jamaa aliniambia et graduates watakaopita wakishamaliza kozi wanapangiwa vitengo vyao kulingana na fani zao...Mfano Doctor-hospitali za polisi kuna ukweli apo..??au utaratibu upoje
Hahahahahaha unakatisha tamaa Vijana aseeHakuna mtu yeyote ataitwa humu...Subirinj tuu
Hahahahahaha unakatisha tamaa Vijana aseeHakuna mtu yeyote ataitwa humu...Subirinj tuu
Haya vijana ambao hamjapita JKT na nyie mmekumbukwa mtume maombi yenu pia.View attachment 1947538
Ila uwe na fani walizoziainisha hapo.
Hospital ya police iko wapi na inaitwaje?
Kabisa aiseHawa jamaa WANATUZINGUAA mbona wanatoa taarifa nusu nusu wanaturudisha nyumaaaa tuu [emoji3525][emoji3525]
Kabisa aise
Hili halikuhusu,kama ulituma maombi mwanzoni basi hapa huna haja,wanatafuta hao wataalam maana inaonekana katika maombi yaliyotumwa awali wamekosa wataalam hao maana vigezo vilibana hasa suala la uwe umepita JKT sasa wamerudi uraiani kutafuta hao wataalam.Hawa jamaa WANATUZINGUAA mbona wanatoa taarifa nusu nusu wanaturudisha nyumaaaa tuu [emoji3525][emoji3525]
Wamestahili kabisa adhabu hiyo.Kuvuka mpaka wa nchi na kuingia nchi nyingine tena na silaha ni kutangaza vita kabisa.Somo la Uraia limewapita kushoto hao.Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi
Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa kazi kwa kosa la kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi wakiwa na mavazi ya kijeshi na silaha za moto kinyume na taratibu za kijeshi
Kamanda wa Polisi Mkoani Songwe Janeth Magomi amethibitisha tukio hilo
Thanks Quote
Hivi m naomba kuuliza kama umesomea psychology unaweza kuomba aiseHili halikuhusu,kama ulituma maombi mwanzoni basi hapa huna haja,wanatafuta hao wataalam maana inaonekana katika maombi yaliyotumwa awali wamekosa wataalam hao maana vigezo vilibana hasa suala la uwe umepita JKT sasa wamerudi uraiani kutafuta hao wataalam.
Hili halikuhusu,kama ulituma maombi mwanzoni basi hapa huna haja,wanatafuta hao wataalam maana inaonekana katika maombi yaliyotumwa awali wamekosa wataalam hao maana vigezo vilibana hasa suala la uwe umepita JKT sasa wamerudi uraiani kutafuta hao wataalam.