MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Mimi nawaambia ndugu zangu Mungu kafanya miujiza yake majina yametoka upo kote kote polisi na uhamiaji au fire na polisi [emoji3]. Halafu unasema unaenda ccp
factKila siku tunasema humu ndani mujibu wa sheria ile ni jkt umepewa cheti cha jkt
Sasa wewe usiombe useme mimi ni mujibu wa sheria shauri yako
mbona mifano ipo mingi ya mujibu wa sheria kupata nafasi kunguru wa Manzese alikuwa mujibu wa sheria kwenye ule uzi wa ajira za utumishi alisema amepoteza nauli sana Dodoma sema sijui mwamba alisomeaga nini huku kwenye majeshi hatimaye kabahatisha
Halafu ukichinguza wengi ambao wanaombea cheti cha degree hizi ajira za majeshi ni mujibu wa sheria na kwenye list ya kupata wapo
Jamaa yangu alipiga interview uhamiaji na magereza, mkeka umetoka jina lake lipo kotekote yan uhamiaji na magereza.... Jamaa akachagua magereza dah[emoji23]Mimi nawaambia ndugu zangu Mungu kafanya miujiza yake majina yametoka upo kote kote polisi na uhamiaji au fire na polisi [emoji3]. Halafu unasema unaenda ccp
Labda kwa mapenzi yako binafsi na mahaba yaliyo juu unapenda uende uko
Ila tukiongea ukweli nyie wenyewe mnajua nasema hivi humu ndani ikitokea imewakuta hivyo mmepata kote kote hakuna atakaye enda huko labda MrBanks [emoji3] kidogo inaonekana anakupenda
Ila xmonster anayependa mshahara wa haraka haraka utamkuta tayari kasharipoti boma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba jifue vya kutosha[emoji28].
Wakati makuruti wakiambiwa usawa ni mlima Kilimanjaro wewe utaona kama unalalia mgongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu nchi hii anacheti cha horse 🐎 Rider 😂😂
Kule unaishi kama mzuka mda wote mimi kuruta " mimi kuruta"
Mda wowote unaogopa kujichanganya ukaaga mashindano na asikwambie mtu hivi unajua maisha ya uoga ya kuwindana kama digidigi yalivyo ? [emoji3]
Ukiumwa kidogo malaria we tayari unfit , buti hujapiga kiwi we tayari ushaharibu [emoji3]
Ndio maana wakimaliza wakichomoka ccp wanakuwa wamevurugwa morali kama zote usiombe ukutane na kisanga cha askari mpya huo utukutu wako utaisha
Uwanja wa damu si ndio kila kitu pale mkuu. Some la uvumilivuHivi bado wanaendaga kule mabokweni ?
Hapo ukute una pumzi kisoda? [emoji3]
Hivi Na bado ule utaratibu wanasimama uwanja wa damu na jua lote lile upo
Dogo langu alikuw ngoma coy (band) maana ni mtaalamu wa mavyombo hayo sasa walikuw na masafari kibao mpaka mnawasahau wanakuwa mañanga wa kwata
Daah Mimi nakuogopa Sana kuleMalaria haikupi u - unfit ila kujifanya unaumwa Mara kwa Mara unakuw recorded so at the end wanaku mark up kuwa unfit. Watu wana act sana kule nasikia
Mimi nawaambia ndugu zangu Mungu kafanya miujiza yake majina yametoka upo kote kote polisi na uhamiaji au fire na polisi [emoji3]. Halafu unasema unaenda ccp
Labda kwa mapenzi yako binafsi na mahaba yaliyo juu unapenda uende uko
Ila tukiongea ukweli nyie wenyewe mnajua nasema hivi humu ndani ikitokea imewakuta hivyo mmepata kote kote hakuna atakaye enda huko labda MrBanks [emoji3] kidogo inaonekana anakupenda
Ila xmonster anayependa mshahara wa haraka haraka utamkuta tayari kasharipoti boma
Mimi jkt sijawahi kupenda mabio na kwata mimi nilikuwa k.o mda wote msafi ,[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kinachofanya polisi ichukue muda mrefu ni darasani sana. Masomo mengi afu porini pia wanakaa muda mrefu kuliko hata JW. Inshort dogo ananiambia porini polisi wako vizur sana na mifumo ya kimapigano. Kule ndio kazi ipo sana.Daah Mimi nakuogopa Sana kule
Ila mimi najiuliza mpka leo sipata jibu ina maana polisi miezi 9 hawa wengine 6
Kwa nini inakuwa hivyo
Na kwenye maslahi wakoje?
Maana wanasema wizara ya ndani mishahara inalingana
KO mwenzangu kabisa wwMimi jkt sijawahi kupenda mabio na kwata mimi nilikuwa k.o mda wote msafi ,[emoji1787]
Sijui ni mimi pekee angu tu [emoji1787]
Sema pccb hapo lazima uwe na mbanga haswa aiseeHahaha huko hapana mkuu tena najua na PCCB wataleta zao...sema PCCB na wao intake iliyopita walifanyia huko huko CCP
Kuna marupurupu mazito nini?Sema pccb hapo lazima uwe na mbanga haswa aisee
Ila wapo wanaotoboa
Wanasema kuna maslahi kama yote yaniKuna marupurupu mazito nini?
[emoji39]wanaweza toa lini tangazo?Wanasema kuna maslahi kama yote yani
Itakuw wew pekee yako,maan una kila dalili ya kuw ulikuw Tanapa boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi jkt sijawahi kupenda mabio na kwata mimi nilikuwa k.o mda wote msafi ,[emoji1787]
Sijui ni mimi pekee angu tu [emoji1787]
Sijajua mkuu[emoji39]wanaweza toa lini tangazo?
Aah wapi mananga najua mpo kama wote humu [emoji3]Itakuw wew pekee yako,maan una kila dalili ya kuw ulikuw Tanapa boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]