Nilijua Kila mtu anaenda kwenye ofisi ya RPC wake kufanyia usaili uko.Ndio mkuu sema unafanyikaga kurasini DSM was polis sijajua this time itakuwa Dom au dam tena , uhamiaji ni Dom,au we ulijua ni mkoani
Yah ndo maana yake....Sijakuelewa vizuri mkuu.
Kwamba usahili wa professionals hufanyikia makao makuu Dodoma au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh hamna kitu kama hichoNilijua Kila mtu anaenda kwenye ofisi ya RPC wake kufanyia usaili uko.
Then baadae wana conclude tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna officer mmoja mimi nilimvaa alinambia nisubirie nafasi ipo mwezi wa pili wanachukua mwakan kuna jamaa yangu tena aunt yake nayeye ni mzito huko kambini kaambiw nayeye taalifa za kuhusu mwezi wa pili hapo nmeanza kupata uhakika kabisa mwezi wa pili jwtz wanaweza wakaibuka na watu kwa sababu kule jkt kambini op samia suluhu wa kujitolea na wao washamaliza wanasubiri ajira tu saivi kwahyo lolote linaweza kutokea ila ukweli TPDF bila mbanga ya uhakika hutoboi.....utakuw unasikia tu washaanza mafunzo washaanza koziDah dadek nimemvamia mzee mmoja hivi kuhusu hii mishe kaniambia nimchek jioni ila kama course ishaanza kitambo sana basi matumain ya kuunganishwa ni madogo.
Ni kweli na hizo siku zote anuani ya barua yako inakuwa ya kamanda wa huo mkoa husika na ndio maana unafanyia mkoaniSiku zote ukiomba mkoani kila kitu hatua zote zinafanyika mkoani tu , PDF ya mwisho ndiyo itakuja na majina ya watu wote wale na mikoani na wataokao fanya usaili makao makuu hawa ni watu wa fani
Ni ndio uko sawa anuani ya barua kama ni ya makao makuu basi ujue usaili utafanyia makao makuu ambapo ndio barua yako inaendaNilijua majina yote ya walioomba mikoani na wale wa professionals yote yanatumwa kwenda makao makuu na wanawekwa kwenye pdf moja. Nimekupata vyema
Ni kweli na hizo siku zote anuani ya barua yako inakuwa ya kamanda wa huo mkoa husika na ndio maana unafanyia mkoani
Sasa nashangaa anuani ya makao makuu Dodoma halafu usaili mikoani
Hapo nashindwa kuelewa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mamaae hapo sasa mimbanga kama yoteMkoani wanapeleka majina waliopita usaili tu. Hivyo utawaona kwenye pdf ya mwisho
Aha hapo nimekuelewa mkuuUsaili wa mikoani unafanyika kwa niaba ya makao makuu. IGP anatoa mamlaka kwa RPCs kufanya huo usaili.
Sasa Kama ni nyota tatu hio moja na mbili wanachukuliwa wapi?Chuo cha Dar utaenda ukifika level za kwenda kuchukua nyota tatu. Sasa basic training wakikupeleka Dar mkuu hata hizo weapon training utafanyia wapi?. Basic training ni CCP kwa sasa
Moja unasomea ya pili unapewa ya tatu unasomeaSasa Kama ni nyota tatu hio moja na mbili wanachukuliwa wapi?
ππ mwamba wew unakoleza uzi tu π
Hata kwa professionals nao usaili hua mikoani?Usaili wa mikoani unafanyika kwa niaba ya makao makuu. IGP anatoa mamlaka kwa RPCs kufanya huo usaili.
Mwanangu kitaa kigumu acha tu.[emoji3][emoji3] mwamba wew unakoleza uzi tu [emoji3]
Makao makuu maana maombi yako si ulituma kule....
Mwaka jana mbona walipiga kurasini na anuaini ilikua Dodoma?Makao makuu maana maombi yako si ulituma kule....
[emoji3][emoji3] hii nchi ukipata lazima umsahau mwenye njaaMwanangu kitaa kigumu acha tu.
Huko utumishi tushapigwa sana peresuperesu.
Now tumeona tutumikie vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Sent using Jamii Forums mobile app