Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Nipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa upo
Waliofeli wana zero mkuu ila hao hawakufanya vizuri. Ni kweli kuna changamoto kwao kwenye kuelewa masomo especially ya sheria lakini wanahitajika sana kwa kazi za kigumu. Simbachawene hakukosea kipindi kile. Mtu wa degree ukimpeleka lindo kama majeshi hayapendi basi ataona kama unamuonea vile.Safari hii hawataki felia wanawasumbua Sana kwenye kozi
Kuna shemeji yangu ni kitengo haswa time nimemaliza form four nilimwambia anifanyie connection niingie PT anazingua
Siku mmoja night akanita nikaenda nae kwa RPC nikaambiwa kuna nafasi moja ya magerza kesho yake asubuhi nijiandae nikalipoti kikosini
Nikarudi home nikamwambia sister kuhusu hiyo nafasi sister akawasha moto wa laki tatu (nadhani hata usiku hakumpa mbususu shemeji)
Asubuhi yake matokeo ya form four yakatoka nina devision one ya 9 (shemeji alikuwa anajua mm ni kilaza maana miaka hiyo hiyo anamfukuzia sister mm ndio alikuwa ananipa shilingi kumi naenda kumwita sister alafu hiyo shilingi kumi ninanunua jojo gorori kumia au pipi kidonge kumi na some time nilikuwa ninanunua pemba(udongo))
So after matokeo shemeji akakataa nisiende advance nikaenda chukua diploma after kumaliza akanipeleka home kwa fisadi mmoja ambae sasa ni marehemu(Mungu ailaze roho yake panapostahili) nikapewa connection ya TPA
so sometime ndugu zetu wanatubania sababu hawatuamini au wanatutafutia sehemu nzuri zaidi kama shemeji yangu japo mm lengo langu ni kuwa PT ili nimkamate jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 1979
Note
•Alitaka anifiche magereza bila cheti chochote akiamini mm ni kilaza
•After kunyimwa mbususu na kuamini nina akili akinitafutia gape zuri japo silipendi
Kaka hata mm nina kigugumizi..ndio maana huwa napenda kazi ambazo kuongea ni nadra sana ..mwendo wa kazi tu mwa mwiiNoma Mzee sauti inakwamakwama tu mdomoni[emoji28]
Daah hatari sana, halafu hawa jamaa wengi wao hawapendi maswali mengi sijui kwannJamaa wa ikulu huwa akiniona anajichekesha tu ananiambia nitulie mambo mazuri yanakuja nitapiga kozi huku wakufuzi wananinyenyekea (kitu ambacho sidhani)
Yaaani hapo pesa ipo kabisa bhas tu yaan me nipate tengo kama hilo nakula 650k kwa mwezi aah nauchuna tuMzee komaa hapo hapo TPA ukusanye hela utengeneze familia na uanze kujenga huku ukitembelea premio yake safi kabisa
Huwa nawaambia wadau...kama ukizama chomboni kwa ajili ya maslahi utateseka sana ..huwa hawaamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanatajua hawajui siku wasikie mipakani kimenuka askari waage wapendwa wao muda wa kuwa kazikazi umetaradadi..
Juu uko nimesoma kuna washkaji nao walipenda PT wakasikia tukio la Hamza na PT darajani salender wakataka ghairi[emoji28][emoji28][emoji28]
Hizi kazi tunazipenda Lakin ikifikia hatua ya Ukraine na Russia tutafarakana"speaking of Ndege Tai
Hii ni lonja?Safari hii hawataki felia wanawasumbua Sana kwenye kozi
🤣🤣🤣🤣🤣😂usije nisahau kakahahahha sina bado ila baada ya muda kidogo kama miaka mitano hv ntakua na connection na system nzito
[emoji1787][emoji1787] hapo ukute mwamba katumia EMSnoo mkuu,kuna watu hawana jkt ila wameomba hzi post
Linapausha ngozi lile mammaae siwezi lisahau [emoji16]Mzee wa ikulu fanya mapekeche bhas kijana wako zege linaniua asee
Daah aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mwamba mmoja nilisoma nae kuanzia kidato cha pili
Huyu mwamba alikuwa anaitwa Dickson(jina lake la pili na la tatu lilikuwa ni jina la mjeshi aliyekuwa na cheo cha captain kipindi cha vita ya kagera alikuwa ni rubani wa Mig-21)
Huyo jamaa now ni mjeda ila kwasasa yupo nchi za nje anakula kozi ya ukomando (huyu mwamba ni komando by nature)
Kulingana na jina lake shule walimu walikuwa wanamuogopa saana (kiufupi jamaa aliishi kwa raha ilifikia hatua mwamba anafua siku ya sabato na hafukuzwi shule kisa kuhofia jina la baba yake)
Baada ya kumaliza shule kidato cha nne kipindi natafuta nafasi ya PT alafu naona shemeji ananizingua nikakumbuka kuwa nilisoma na mtoto wa mkubwa na alikuwa ni rafiki yangu saana
Nikampigia simu mwamba kumwambia nia yangu akacheka saana akaniambia
"Bachelor mimi ni mtoto wa fundi seremala na mama yangu ni mvunja kokoto sina connection yotote na pale nilivyokuja shuleni kwenu nilikuwa nimekuja kurudia shule baada ya kufeli form four hilo jina la huyo mkubwa nilijipa baada ya kuwa nimeshakaa saana mtaani na kugundua kitaa kinataka nini na mimi kujua nataka nimi so kwa kuwa nilikuwa nataka jeshi ndio nikaja na hiyo mbinu ya kutumia jina ls mkubwa"
●Jamaa kweli kutumia lile jina kumemsaidia saana kuanzia shule mpaka kupenya JW (msishangae kuona miaka ya mbele kuna komando mwenye ubini wa CDF mstaafu)
●mwamba ni genius haswa baada ya kuona hana connection akatumia mbinu za kimedani
Kaka siwezi kukusahau🤣🤣🤣🤣🤣😂usije nisahau kaka
Mkuu acha tu asikwambie mtu hasa zile za madaraja daah huwa ni za mateso kuna siku tulipiga ujenzi wa daraja tulikuwa kama 60 hv huwezi amini ile shoo mpaka watu walikuwa wanaomba kwenda kujisaidia hawarudi wengine wanajificha porini kwa kutegea, ile ngoma tulimaliza nane usiku nikarudi om s 9 usiku huwezi amini mkuu kwanza nililala na viatu alafu nilikuja kushtuka mchana wa saa 9 japo nilipata 30000 lakini ilikuwa ya moto *****Linapausha ngozi lile mammaae siwezi lisahau [emoji16]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wapi hao uhamiaji au polisi ?Safari hii hawataki felia wanawasumbua Sana kwenye kozi