MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Hao 12 walichomolewa wakiwa tayari wameshapqtq ajira?Makamanda habari zenu,
Kwa muda sana nimekuwa mfatiliaji wa huu uzi, nimegundua kuna watu wanafahamu mambo mengi sana na kuna wengine hawafaham kabisa. Nilichopendea hii thread ni ushirikiano mlionao.
Nachoweza kukazia ni kuwa tafuta connection bila kuchoka huku ukimwomba Mungu wako.
Mimi ninavisa viwili nimekutana navyo katika harakati ya kuingia jeshini. Cha kwanza ilikuwa 2018 nilifanyiwa mpango wa kuingia TPDF kutokea uraiani. Mambo yalinyooka lakini uncle Magu akatibua, yani alikataa mtu kuingia chomboni akiwa anatokea uraiani. Kwa kuwa nilikuwa kwenye hatua za mwisho ilibidi nisitishe hilo zoezi na kuendelea na ratiba nyingine. Pia kipindi hicho, kuna watu 12 walichomolewa jeshini kwakuwa nao waliingia kimchongo.
Kisa cha pili ilikuwa 2019, nilisikia kuna saili za kuingia JKT, kwa kuwa nilikuwa ninacheti cha Mujibu nilisema liwalo na liwe, niende JKT nikajitolee ili iwe rahisi kupata chance ya kuingia TPDF maana magu alikaza sana wakati ule. Kuna ndugu yangu mkoa fulani alikuwa anacheo kikubwa PCCB, nilimshirikisha na akaniahidi kunisaidia niingie JKT kwani kwenye usaili angekuwepo.
Aliniambia niandae vyeti vyangu lakini cha JKT nisikiweke then nisafiri kwenda huko mkoani. Nikiwa njiani alinipigia simu kuwa amepata dharura anaenda Dodoma ameitwa kwa dharura. Alinipa maelekezo ya namna ya kufika kwake, nilifanikiwa kufika na sikukuta mtu kwani funguo nilipewa na jirani aliyekuwa ameachiwa maelekezo. Baadae huyo ndugu yangu aliniambia kuna mtu mwingine anatoka dsm kuja kuungana na mimi hivyo tutakuwa wawili. Basi jamaa alifika usiku sana nikampokea. Asubuhi tulijiandaa na mwana tukaelekea uwanja wa vita, aisee acheni. CONNECTION INASAUTI.
Tulienda direct kwa mshauri wa mgambo, akauliza, nyinyi ndio vijana wa X, tukajibu ndio. Akachukua vyeti vyetu then akasema tukajiunge na wenzetu nje tusubiri maelekezo.
Kufupisha story ni kuwa siku iliyofuata watu wa degree tulikuwa watano, wakiume wanne na wakike mmoja. Tulipigwa KO wakiume wote na siku hiyo wakaingizwa wengine kuziba nafasi zetu.
Hiyo siku sikula kabisa maana sikuamini kama yaliyotokea kule ilikuwa ni ndoto au kweli. Tulimpigia ndugu yetu kumweleza yaliyotokea, alishangaa sana maana alidai maelekezo yote aliyaacha ofisini. Mwisho alidai tusiondoke tumsubiri arudi ili aje apambane na hao aĺiowaachia maelekezo kwani alidai itakuwa wamekula rushwa.
Connection inasaidia sana makamanda
Ni kweli course nyingi inaonekana zitakuwa hapoJanuary ishachanganya mbio,
Hizi kozi nahisi wengi wataingia mwezi wa 3
Zimamoto mpaka sasa kimya, na wao ndio waliokuwa wa kwanza.
Chief ungeimalizia hii kituMakamanda habari zenu,

Watu Wana tofautiana mioyooo mwanangu alichek na ma Gen wawil bado ngumu kusaidika jamaa yangu mzeee wake alikuw brigediaWewe usikate tamaa mwambie ampange, Kuna private mmoja nilikua naiva nae sana mtaani alinisimulia bi mkubwa wake ni rafiki na kanali mmoja wa kike lkn. Private alinambia ye aliongea na uyo kanali mara Moja tu kupitia bi mkubwa wake akapewa maelekezo ya kwenda kwenye usaili akaambiwa ukikutana na changamoto piga simu nipe nizungumze na huyo muhusika. Kweli Jamaa alipoona haelew kwenye usahili akatoa simu akamvutia waya kanali kanali akaongea nao kijana akakabidhiwa kwa mtu mpk mwisho wa usahili siku majina yanatoka nayeye yumo, akapiga simu kutoa shukran kwa kanali akaambiwa wahi kambini. [emoji23][emoji23][emoji23]Private anasema alikaa chomboni karibu miaka minne ndo yule kanali akamuita wafahamiane. Sasa kama kanali alikua anavuta waya tu sembuse Luten General
Eeeeh huyo jiniWakubwa wa vikosi mara nyingi huwa ni
1.captain
2.Luten
Ni ngumu saana kumkuta kanal ni mkuu wa JKT kumbuka mikoa mingi haina brigedia general
Mfano mkoa wa kigoma mwanajeshi mwenye cheo kikubwa mkoa mzima ni kanali ambae anaripoti FARU tabora
Kanal wa kigoma Risasi 70 anapata shabaha zote
Mkisi nadhani ashawahi kua lecturer UDSM.Hata sijui huyo bilionea alipo now ila kwa kifupi ni kuwa wajeda wenzake walikuwa wanamuonea wivu so mwamba kapigiwa fitina saana nadhani now ingetakiwa awe hata meja general
Kwa upande wa waha alileta ubabe wa kijeshi umoja wa wachawi wa kasulu wakawa wanamlaza nje analala ndani akiamka asubuhi anajikuta nje akaona makubwa cha kufia nini akatema uDC (ikaonekana kagomea amri halali ya amiri jeshi mkuu tena Jiwe mr siambiliki wa chato .....)
Brigedia ameshindwa kumsaidia mwanae aingie kwenye system kweli jamani.?Watu Wana tofautiana mioyooo mwanangu alichek na ma Gen wawil bado ngumu kusaidika jamaa yangu mzeee wake alikuw brigedia
RSM wanakuwaga wanaa Sana Hawa wazee, pale 835 kulikuw na RSM matanda,sas kuna mzee anafanana nae umri kbsa yeye ni staff sajent,kipindi tunapiga kwata uwanja wa damu yeye Alikuw anavuta sigara.rsm akamwambia acha kuvuta sigara nitakupiga guard, nlicheka sn hahahahahaStaff sajenti Mungu mtu??? Labla kwa ma private. Watu ambao ni miungu watu sana kikosini ni CO na MR RSM
Kaka captain au luteni bado sana kwanzia major kidogo sawa. Nadhani unanielewa hapo na endapo major ni mkuu basi captain atakuwa adjutant.Wakubwa wa vikosi mara nyingi huwa ni
1.captain
2.Luten
Ni ngumu saana kumkuta kanal ni mkuu wa JKT kumbuka mikoa mingi haina brigedia general
Mfano mkoa wa kigoma mwanajeshi mwenye cheo kikubwa mkoa mzima ni kanali ambae anaripoti FARU tabora
Kanal wa kigoma Risasi 70 anapata shabaha zote
Baba yake alifariki alicheki na wale washikaji wa mzeee nao wanaweka ukuta mwingi kwa mwana mzeee alikuwa hapend jamaaa kuzama majeshi alipokuwa haiBrigedia ameshindwa kumsaidia mwanae aingie kwenye system kweli jamani.?
Au ndio mambo yanatofautiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matanda hakuwa mnaa Bali ni mzee wa maneno mengii akiongea unaweza sema leo nimeisha ila wala alikuwa very fair mpaka wenzie walikuwa wanamjuaRSM wanakuwaga wanaa Sana Hawa wazee, pale 835 kulikuw na RSM matanda,sas kuna mzee anafanana nae umri kbsa yeye ni staff sajent,kipindi tunapiga kwata uwanja wa damu yeye Alikuw anavuta sigara.rsm akamwambia acha kuvuta sigara nitakupiga guard, nlicheka sn hahahahaha
Hahahahahaha kumbe unamjua yule mzee,anajua kwata balaaaMatanda hakuwa mnaa Bali ni mzee wa maneno mengii akiongea unaweza sema leo nimeisha ila wala alikuwa very fair mpaka wenzie walikuwa wanamjua
Namjua vizuri ni mzee wa kwata kama alizaliwa nayo siku vikitimka hakuna vitengo wote uwanjani[emoji3]Hahahahahaha kumbe unamjua yule mzee,anajua kwata balaaa
Ndivyo alivyo ila yuko poa sana na ni makini hasa.Mkisi nadhani ashawahi kua lecturer UDSM.
Huyu mwamba nasikia ana majivuno acha tu.
Nasikia akiwaga katika vipindi anasema kua katika wajeda wote TZ ni general tu ndio anamzidi kwa mtonyo.
Pia ashawahi kusema kua ikitokea gari yake imeonekana mazense au Tandale ujue labda imeibiwa [emoji16].
Eti yeye kwa hadhi yake yake hawezi kwenda hizo sehemu.
Pia akasema nyumbani kwake kila mtu ni degree holder hadi house girl wake[emoji848][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka umenirudisha gadi ya 4 kabisa kwa Afande Sele 😂Ng'ombe wa mayai[emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah yule mzee alikuwa mtata sana,ila me nahis hao wanaowapa vyeo lzm wanaangalia na unaa wa mtu.maan marsm weng wanakuwa wanaa knma.Namjua vizuri ni mzee wa kwata kama alizaliwa nayo siku vikitimka hakuna vitengo wote uwanjani[emoji3]