BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Hahaha kama nakuona vile ukilitosa chama la UT kiongozUT iko damuni, ila ushindani wake mnene, na watu wa visiwani ni priority. hali hii lzma nitumie akili ku mkichwa nasio kutanguliza mapenzi nao
Nakubaliana na wwHaiwezi kuwa hivo hata kidogo Kila moja itatoa tarehe yake tofauti, na hata ukifaulu kotekote haiathiri chochote sababu reserve haikosekani
sitegemei kama itakua hvo. bt smtm itabidi nikubaliane na hali halisiHahaha kama nakuona vile ukilitosa chama la UT kiongoz
Hapa Living Pablo na MrBanks watapapaswa 😅Kuna uwezekano UT na PT wakatangaza tarehe moja ya usaili mkubwa ili kupunguza watu automatically kuavoid mtu mmoja kupata chance huku na kule especially kwa proffesionals.
Tupe mzeeLeo nipo kitaa naibia lonja mahali ya UT
Fanya hvyo kaka...halfu ulizia na ronja za magerezaLeo nipo kitaa naibia lonja mahali ya UT
UT tu mzee 😂😂😂Hapa Living Pablo na MrBanks watapapaswa 😅
[emoji28][emoji28]noma apoHapa Living Pablo na MrBanks watapapaswa [emoji28]
Balaaa SanaPDF itutoe mtaani hali ni mbaya balaa
Hii kitu ni nini kiongozi naona haifungukiIbara ya 147,kifungu kidogo cha 4.
View attachment 2481049
Hivi depo la UT kwa sasa limepewa jina gani mkuu?Unajua unapoibia lonja unakuwa sio dipu kivile usije ikela mbanga yako.lkn niwaulize wakuu mibuyu yenu mlitoboa mifuko?ama mlipiga magoti tu? haloo nasikia mkunu mtupu haulambwi. ila mambo yameiva bado kuachiwa ni hayo tu UT
[emoji848]inaonekana una mbanga mzito sana hongera kakaUnajua unapoibia lonja unakuwa sio dipu kivile usije ikela mbanga yako.lkn niwaulize wakuu mibuyu yenu mlitoboa mifuko?ama mlipiga magoti tu? haloo nasikia mkunu mtupu haulambwi. ila mambo yameiva bado kuachiwa ni hayo tu UT
from Boma kichaka miba to Raphael kubaga . hii kubadilishwa jina bdo sina facts nayo sana. ila niliipata humu humu mkuuHivi depo la UT kwa sasa limepewa jina gani mkuu?
sina mkuu wangu, sema nipo karibu na kurasini[emoji848]inaonekana una mbanga mzito sana hongera kaka
Wazi chief. Sikupingi hata kidogoMungu ablesi tukatumikie taifa