Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Unajua unapoibia lonja unakuwa sio dipu kivile usije ikela mbanga yako.lkn niwaulize wakuu mibuyu yenu mlitoboa mifuko?ama mlipiga magoti tu? haloo nasikia mkunu mtupu haulambwi. ila mambo yameiva bado kuachiwa ni hayo tu UT
Mbanga ya kweli haiulizi pesa ila mambo yakiwa mazuri we mwenyewe unajiongeza tu unamtoa


Na mbanga inasumbuliwa usiogope kuisumbua ajue dogo yupo moto hawa watu wana mambo mengi
 
from Boma kichaka miba to Raphael kubaga . hii kubadilishwa jina bdo sina facts nayo sana. ila niliipata humu humu mkuu
Boma Kichakamiba ni eneo katika wilaya ya Mkinga Tanga kambi ilipo.
Jina la kambi ni hilo Raphael Kubaga, kwa heshima ya mkuu wa mwanzo kabisa aliyepita ambaye alifariki mwaka jana kama sikosei.
 
Oyaaa naskia majina ya pt washayamwaga leo.
Naskia wale vijana wa nje ya jkt na wale wa fani wote usaili Dom.
Mpwapwa kule wameambiwa majina ya walio vikos yatabandikwa kesho. Na wale wa fani usaili 23.1.2022.
Ronjaa hizo
Nimeangalia kote hamna,Instagram na kwenye web yao
 
Naongezea kipindi anateuliwa Seleman mzee alikuwa brigedia jenerali
 
Oyaaa naskia majina ya pt washayamwaga leo.
Naskia wale vijana wa nje ya jkt na wale wa fani wote usaili Dom.
Mpwapwa kule wameambiwa majina ya walio vikos yatabandikwa kesho. Na wale wa fani usaili 23.1.2022.
Ronjaa hizo
Ngoja tuone itafahamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…