[emoji23] [emoji23]Uzi ushakuwa wa kulalamika sana.....
Ni hivi duniani hapa mambo sio maraisi kama mnavyodhani na hakuna huruma
Acheni kulia lia makamanda mnazingua hakuna msaada mtapata hapa zaidi ya kufarijiana.
Inauma ila ndio ukweli wenyeweUzi ushakuwa wa kulalamika sana.....
Ni hivi duniani hapa mambo sio maraisi kama mnavyodhani na hakuna huruma
Acheni kulia lia makamanda mnazingua hakuna msaada mtapata hapa zaidi ya kufarijiana.
kitaa kigumu mkuu,mlo ni mmojaUzi ushakuwa wa kulalamika sana.....
Ni hivi duniani hapa mambo sio maraisi kama mnavyodhani na hakuna huruma
Acheni kulia lia makamanda mnazingua hakuna msaada mtapata hapa zaidi ya kufarijiana.
Kweli man hayo ndio maisha.Hii kwel kbsa,me naona magumu sababu hkn wa kunishika mkono.naamin humu ndan kna w2 hawawazi kbs wao njia nyeupe to TP au UT,Kaz yao kusoma maoni ya wenzao tu bas wanatulia,haya maisha bhn
Nakuelewa sana mzee hata mimi nipo hardtime sana lakini nilichojifunza haya maisha hayawahi kuwa mepesi na dunia hii ya Mungu haina huruma so kulialia sio poa.....lonja zitolewe watakao pata hzo ajira pongezi kwao waende wakatumikie vyombo na watakaokosa pia iwe shangwe maisha mengine yaendelee haina maana ukipata hizi ajira ndio shida zitaisha au ukikosa ndio hutafanikiwa.kitaa kigumu mkuu,mlo ni mmoja
WatarudiWakuu hivi majeshi ya wizara ya ndani yatarudi tena 2024 kuchukua watu kwa ajili ya uchaguzi tukikos mara hii tunatak a tujipe moyo kwa mara nyingine
PT watarudi tu kuchukua wengine nina uhakika huo. Wapo ambao wataenda kule bogi la kwanza na watakuw unfit tu , wapo ambao watafukuzwa. Miamba ile iliyokuw migumu kufukuza watu ila inakupa doso haipo tena CCP wamebak watu ambao hawapendi sana doso ila wananyoosha sheria...watakimbizwa wengi tu na sababu nyingine siwez itaja ila bogi lingine kuna uwezekano likawepo baada ya bogi la kwanza kwenda CCPMwak in uhamiaj walienda depo November cna uhakik baadae wakarudi tena kuja kuchukua watu hivi na mara hii inawezkan watu wapo mafunzo wakarudi kuchukua wat
mkuu upo upande hasi sana. kwanini usifikirie upande wa pili?so intake ijayo itatokana na watakao fukuzwa bogi hilii linalo enda ccp. so hii itakuwa repetitive always?PT watarudi tu kuchukua wengine nina uhakika huo. Wapo ambao wataenda kule bogi la kwanza na watakuw unfit tu , wapo ambao watafukuzwa. Miamba ile iliyokuw migumu kufukuza watu ila inakupa doso haipo tena CCP wamebak watu ambao hawapendi sana doso ila wananyoosha sheria...watakimbizwa wengi tu na sababu nyingine siwez itaja ila bogi lingine kuna uwezekano likawepo baada ya bogi la kwanza kwenda CCP
Sio kwamba nipo hasi mkuu, nimetaja sababu ambazo huwa zinapelekea kuingiza watu wengine wakat course ikiwa inaendelea na kuna sababu moja nyingine nimesema sitaitaja ambayo ni muhimu pia ila siwez isema public. Among other things elewa kwamba wanaofukuzwa hawakosekan na hawatakuja kukosekana. Ukifanikiwa kuingia huko utaelewa kuwa nn namaanisha.mkuu upo upande hasi sana. kwanini usifikirie upande wa pili?so intake ijayo itatokana na watakao fukuzwa bogi hilii linalo enda ccp. so hii itakuwa repetitive always?
Upo sahihi mkuu. Na kuna idadi lazima ifikiwe iwe balanced. Toka mtu , ingiza mtu.Sio kwamba nipo hasi mkuu, nimetaja sababu ambazo huwa zinapelekea kuingiza watu wengine wakat course ikiwa inaendelea na kuna sababu moja nyingine nimesema sitaitaja ambayo ni muhimu pia ila siwez isema public. Among other things elewa kwamba wanaofukuzwa hawakosekan na hawatakuja kukosekana. Ukifanikiwa kuingia huko utaelewa kuwa nn namaanisha.
We can't be certain at the moment but anything can happen na muda ndio utasemaKwa mfano uhamiaj 2021 wali chukua watu 370 baadae wakaj kuchukua 400 cjui na kitu jee mara hii pia inawezkan kufanya hivo