mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Jamani hii ishu ya PT tusijipe moyo sana wala tusikate tamaa sana ila kwa mim navyo elewa wanatak watu 500 tuu pia kumbukeni katika ao watu 500 kuna watu wapo jkt zaidi ya mikoo kumi pia kuna watu wapo kweny mikoo ambao ni form 4 apo ukipiga esabu fanya kila mkoa wanachukua watu 20 wa form 4 na 30 wa jkt kiufpi watu 50 ujaja kwa wale walio omba kupitia CV zao za vyuo kama medical tuu wapo zaidi ya 200 ujaenda IT ujaenda kozi zingine za business yani kiufup ni kuomb Mungu tuu tupate ila kweny hii ishu yaa saivi hasa kwenye PT tutaona Mengi
PT
Jamani hii ishu ya PT tusijipe moyo sana wala tusikate tamaa sana ila kwa mim navyo elewa wanatak watu 500 tuu pia kumbukeni katika ao watu 500 kuna watu wapo jkt zaidi ya mikoo kumi pia kuna watu wapo kweny mikoo ambao ni form 4 apo ukipiga esabu fanya kila mkoa wanachukua watu 20 wa form 4 na 30 wa jkt kiufpi watu 50 ujaja kwa wale walio omba kupitia CV zao za vyuo kama medical tuu wapo zaidi ya 200 ujaenda IT ujaenda kozi zingine za business yani kiufup ni kuomb Mungu tuu tupate ila kweny hii ishu yaa saivi hasa kwenye PT tutaona Mengi sanaa
PT hawawezi chukua watu wachache hvyo
PT hawawezi chukua watu wachache hvyo
Kuna mikoa wamechukua 35 wengine 20Kibali cha PT kilikua ni ajira 3000, hzo post 500 ni mgao ambao zanzibar wamepewa,ondoeni hofu mapoti
Inawezekana ni kweli. Zimamoto waliita watu 540+ i'la imechukua 78 so kwa watu 3000 walioitwa Dar si ajabu tukaskia 400 ndo wamepata nafasHiko ndo kitu yule afande alikua analalamika na kuhuzunika wametuita wengi lakini nafasi chache sanaa so sijui kama ni ukweli au zilikua story tuu,tusubiri tuone majibu
10000 form fourSi huwa 5000 tu? Au washabadili siku hizi?
Majina elfu? Rudi kacheki tena.Unazingua..majina yote yako elfu na kitu hivi ..madaktari wanakuaje 500..
500 ni nafasi za Zanzibar pekee. Tanzania bara ni zaidi ya hizo.Jamani hii ishu ya PT tusijipe moyo sana wala tusikate tamaa sana ila kwa mim navyo elewa wanatak watu 500 tuu pia kumbukeni katika ao watu 500 kuna watu wapo jkt zaidi ya mikoo kumi pia kuna watu wapo kweny mikoo ambao ni form 4 apo ukipiga esabu fanya kila mkoa wanachukua watu 20 wa form 4 na 30 wa jkt kiufpi watu 50 ujaja kwa wale walio omba kupitia CV zao za vyuo kama medical tuu wapo zaidi ya 200 ujaenda IT ujaenda kozi zingine za business yani kiufup ni kuomb Mungu tuu tupate ila kweny hii ishu yaa saivi hasa kwenye PT tutaona Mengi sanaa
Upo sahihiKibali cha PT kilikua ni ajira 3000, hzo post 500 ni mgao ambao zanzibar wamepewa,ondoeni hofu mapoti
Salama mkuuMambo Vipi Kiongozi
2015 wamerudishwa kidato cha nneHabari zenu wapendwa mimi na swali nataka nijue kwa upande wa mikoa Mengin imekaaje hii kitu mim nimemaliza form 4 2015 pia nimefanya jkt 2018 msange tabora kweny huu usaili nilituma maombi kwa njia ya form 4 mana kwa kutumia njia ya cheti cha chuo sijaweza mana nina sup nina soma dental ivyo basi uku tabora wamesm kua hawapokei watu walio maliza form 2015 zaidi ya watu walio maliza kwanzia 2016 ivi hii ishu inakaaje mana adi mtu anae nisimamia amepambna kweli ila naona Ngoma imekua Ngumu vipi kwa mikoa Mengin uko imekaaje
Mwambie akupambanie magerezaHabari zenu wapendwa mimi na swali nataka nijue kwa upande wa mikoa Mengin imekaaje hii kitu mim nimemaliza form 4 2015 pia nimefanya jkt 2018 msange tabora kweny huu usaili nilituma maombi kwa njia ya form 4 mana kwa kutumia njia ya cheti cha chuo sijaweza mana nina sup nina soma dental ivyo basi uku tabora wamesm kua hawapokei watu walio maliza form 2015 zaidi ya watu walio maliza kwanzia 2016 ivi hii ishu inakaaje mana adi mtu anae nisimamia amepambna kweli ila naona Ngoma imekua Ngumu vipi kwa mikoa Mengin uko imekaaje
Kama ameshindwa PT ..Magereza ataweza?Mwambie akupambanie magereza
Achana na jeshi nenda ata Suma au k securityHabarini ndugu zanguni nimekuwa nikipita Kila Mara katika uzi wetu pendwa huu Kila mmoja wetu anatamani kupata fursa hizi zinazotangazwa kupitia vyombo hivi na kwa hakika humu tumo watu wa aina tofautitofauti mchakato wa kupata watu wenye sifa stahiki pamoja na kuwa waombaji wengi haimaanishi kuwa kutokuitwa katika saili hizi kwamba hauna sifa/vigezo lah! Hasha pengine labda ni kuzidiana sifa/vigezo ama connections ama vinginevyo mm binafsi nilipata bahati ya kufanya mujibu wa sheria na baada ya mujibu wa sheria nilirudi tena kwa kujitolea JKT kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 lakini bado sikubahatika kupata ajira na nilifanya application kwa ajira zote PTna UT lakini sikubahatika kuitwa katika sahili hata moja paka Sasa pamoja na kutuma katika nyakati tofautitofauti zile mwaka juzi na hata hizi pamoja na kuwa vigezo vyote tajwa bado sikuitwa kabisa yote tisa bado sijakata tamaa kabisa Kuna wakati utafika tu mambo yatakaa uzuri mwisho pamoja yote hayo nitumie fursa hii kuomba Kama Yuko mtu mwenye moyo kusaidia wengine humu niombe na mie Kama uko kwenye mfumo wowote either PT, UT, PCCB na JWTZ ana uwezo wa kunishika mkono tafadhali naomba msaada ukinicheck DM nitashushuru Sana, Muwe na jioni njema nyote..
UShauri wenye amri huu 😀Achana na jeshi nenda ata Suma au k security
Kuna ambao hawajui pia Suma wanapataje watuAchana na jeshi nenda ata Suma au k security