HujaelewaMafanikio hayako huko tu kaka.
Badili mtazamo.
Waambie wakuache uhasibuNipo mbagala.. Naachwa wapi nikipanda magari ya huku l.
Panda gari za gerezani utaachwa zinapita palepale chuo cha polisi Kipo road tuNipo mbagala.. Naachwa wapi nikipanda magari ya huku l.
DPA iki Chuo Kiko Kilwa road Kurasini karibu sana kaka tutakutana pale me pia nimepangiwa hapo UsailiKwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
Acha kuanika namba yako hadharani mkuu.Poah kaka, 0765965859
Kwann wamerudishwaDah monduli sio pazuri , kibangala cha Kwanza kisharudishwa makambini ... Wale walioenda juzi military science (madaktar+maengineer)
Dah....Ila sio mbaya ilikua ya kawaida naona...Wakuu UT ilikua pepa technical
Defn
passport
requirements if u want travel abroad
bonified citizen
benefits of immigration to Economy of tz
african blocks that Tanzania is the member?
andika wimbo wa taifa
multiple choice
matching items haloo, wimbo wataifa nime robu robu kinoma wakuu.
pepa Ya Bachelor holder na Six, form four wamepiga pepa yao ilikua simpo kinyama,kidogo nilukie yao wazee.
All ze best broNasubir Last Pdf
Kule ndo Kuna ndoigeeeNasubir Last Pdf
Kwenye written sana sana ni maswali ya professional yako na kwenye oral ni maswali ya professional yako na baadhi out of professional.Wale wa PT,oral waliuliza maswali gani ukiachana na professional yako nilimaamisha maswali mengine kuhususu polisi
Ni professional tu mzee.Wale wa PT,oral waliuliza maswali gani ukiachana na professional yako nilimaamisha maswali mengine kuhususu polisi
Hapo nisingekosa 90+Wakuu UT ilikua pepa technical
Defn
passport
requirements if u want travel abroad
bonified citizen
benefits of immigration to Economy of tz
african blocks that Tanzania is the member?
andika wimbo wa taifa
multiple choice
matching items haloo, wimbo wataifa nime robu robu kinoma wakuu.
pepa Ya Bachelor holder na Six, form four wamepiga pepa yao ilikua simpo kinyama,kidogo nilukie yao wazee.