Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ndege Tai mwanangu wa 825kj tunafanyaje kuhusu MT mkuu....maana me kigezi cha umri kimenitupa mkono, nimebaki na gamba la jakata
 
Mimi mwenywe mwez wa 4 nakua nimevuka tayari miaka 25....
Kuna mwanangu mmoja yupo MT alinipa ronja alisema yy kwenye wilaya yao walipiga usaili watu 7 tu na kulikuwa na kambi ya j.k.t, muhuni alizidi 25 lkn ilikuwa kama bahati tu maana ilikuwa op ya nyuma........
 
Wilaya ambazo hazina watu wengi ndio vzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…