Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwa hio form 6 mwsho miak 27 na degree mwsho 29
Soma maelekezo ya umri niliyokupa hapo juu.

Ila Form 4& Form 6 wote mnakuwa kwenye scale Moja ya Mshahara ndio maana kwenye maombi hawahitaji level ya form 6 coz hauna taaluma/ujuzi wowote so upo sawa na form4, wengine wenye ujuzi wanatuma maombi Moja Kwa Moja Makao makuu Dodoma.
 
Mhh bila mbanga kutoboa ni ngumu sana, probability ya kupata approximately zero
Siku yako ikifika imefika tu hata wawe 5 utaona jina lako hata hao wenye banga wakapata ni vile siku yao imefika sio banga zote zinakubali sio wote wana banga wanaenda hata kama ni wachache siku ikifika utakuwepo tu

"Your God's love is not unconditional. He does not love us. And He does not love you."
Or he love us and he love you too "
 
Ni kweli lkn panapo uhalisia inabidi tukubali bahati inakuwa imeporwa
 
depression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa kumefika sasaa
Broh be strong tu hamna namna,maisha magumu sana ila mungu atatusaidia,sema tutafute hata vibarua vya ulinzi na vidogo dogo vingine ili tusikimbiwe na wachumba
 
Broh be strong tu hamna namna,maisha magumu sana ila mungu atatusaidia,sema tutafute hata vibarua vya ulinzi na vidogo dogo vingine ili tusikimbiwe na wachumba
mahusiano mwanangu yanafifia balaa. mbanga yangu iko real imemaindi balaa bdo haiamini amini kuwa sikuhiz anaweza toa oda asisikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…