Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

@mfwende unaitwa hukuu
mm ndio mfwende mkuu, nimechomolewa wazee nimekili nilikua na koneksheni nene ila imestafu. 4days before ikanambia imeua now nikuomba MUNGU tu. haloo leo morning nilivoipa ujumbe kuwa simo imewaka balaa kuwa imekuaje wakati ilihakiki mkeka kabla haujatoka?? ila tuwe wa kweli hawa jamaa wa ng'ambo yapili akina makame na mbaruku wananguvu sna UT kwasasa.nawaombea kheri mfanikiwe mnaosubiri pdf za PT,Pccb na MT na wale waliojiunga na UT. mm majeshi nimegive up now nasubri nguvu za MUNGU mikeka niliyopiga utumishi itiki.
 
Dahh so sad
 
Duuuuuh ! Pole sana Mwanangu nilikuwa nakuombea utoboe, basi siyo Riziki hiyo. [emoji17][emoji17][emoji18]. Subiria mkeka wa PT.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chief cjaelewa kwa hio ukiwa na cheti cha form.6 bila ya fani unahesabika kam form. 4
 
Miaka minne sasa nakata kitaaa tokea nirudi jakata.....hz nafasi zinavyotoka kila nikiomba ni ndoige....tena ndoige ya maana, labda pengine rizki haikuwa huku, na sjui mungu ananiepusha na mangapi, all in all mungu ni mkubwa, mapambano ya maisha bdo ni marefu,
 
Rizki ipo km ipo utapata imeandikiwa sehemu nyingine kabisa tusichoke kupambana tutatoboa tu
 
Yaan UT na PCCB siyo sehemu zakuweka hope hata cku Moja... Ni sehemu ngumu sana Kwa ambae Hana mtu Tena cyo mtu tu Bali mtu haswaaaaa...usiwaze ipo sehemu imepangwa utaenda kamanda na kama hujapangiwa majeshi bac Kuna Mahali pakutoboa umepangiwa... Binafsi disappointment kama izo kwasasa naonaga kama jambo la kawaida Ila kipindi Cha nyuma zilikuwa zinanipa stress sana...
Japo ni mengi tunapitia mda ukifika Nita share experience ya vikwazo labda tutajifunza Kwa namna Moja au nyengine...
 
pamoja luteni
 
Kazi za kuajiriwa ni changamoto sana, ni vile tu Sina namna ndo maana napambana nazo lakini very soon ntaachana nazo niangalie kufanya shughuli binafsi. Kuna jinga Moja linanambia nita fute internship, Mungu amsamehe
Mkuu inategemea na sehemu . Mm kuna sehemu waliniita nijitolee ila nilipofika pale baada ya interview wakanipa full mkataba wa kazi najishikiza huku nikisubiri kwingine kutiki. Ila sehemu ya internship inategemea ni wapi...wengine wanakunyonya ila wengine wanakupa pesa nzuri
 
Pole sana kaka..haya majeshi changamoto sana kuingia kwa sisi wasomi
 
Leo magereza dodoma,yupo mkuu wa wilaya na makamanda wengine,km umezidi umri hata siku moja pita hivi,hujafika kimo pita hivi,unaenda mbele pale wanakagua vyeti baada ya hapo unaenda kupimwa ulefu usipofikisha unapewa vyeti unasepa,ukifikisha unahojiwa,unakaguliwa km huna Chara,unapimwa afya siku hiyo hiyo
 
Kazi za kuajiriwa ni changamoto sana, ni vile tu Sina namna ndo maana napambana nazo lakini very soon ntaachana nazo niangalie kufanya shughuli binafsi. Kuna jinga Moja linanambia nita fute internship, Mungu amsamehe
Jw nimeambiwa wanakuja ila kwa uraiani watachukua wengi mafundi wenye vyet vya ufundi na udereva
Majeshi miyeyusho sana , wanajibaraguza tu ,hizo nafasi wanaziuza , mimi kuna mtu yuko huko pwani ,ndio nyumbani kwao aliniambia mwezi kama. Mmoja na nusu umepita sasa kwamba kuna watu wanatembeza si chini ya milioni mbili na nusu humo JWTZ kuhonga ili kupata nafasi ,na yenyewe ni bahati ,unaweza toa na kudhulumiwa vile vile ,tangia hapo nikaamini ,kuwa kuna Magumashi mengi sana humo atleast magereza maana watu wengi hawapapendi.

Rushwa ni adui wa haki hasa kwa masikini , ni mtihani haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…