methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Ni sahihi mkuu hapa kiumri asee ni hatareeeApo mwisho kasema utume kwa mkuu wa utumishi Makao makuu so apo ndugu yangu inahitaji uandike barua ya maombi bila kujali upo kambini au mtaaniView attachment 2543221
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Upo na zandani sanaaaNilisema hii juzi...na leo mzigo mumeuona...View attachment 2543254
Nakuelewa mkuu tushtuane aseeNilisema hii juzi...na leo mzigo mumeuona...View attachment 2543254
Hv serious au hahahahahahahaLeo vijana wa 844kj op samia waliochaguliwa kwenda kuripoti msata wapo Mbeya mjini wananunua mahitaji yao!!
Kuna kitu najaribu kukiwaza halafu nashindwa kupata majibu!!!
Watu wanaripoti kesho ....Duuh, sielewi elewi...!!
Serious mkuu...!! Vijana 55, chita wameitwa vijana 100+. Natafuta data nyinginezo tena.Hv serious au hahahahahahaha
@methodinho kaka umeiona hiiWana jf nahitaji kutoa msaada kwa watu wawili free yaan aende kiroho saaafii
Ila mmoja awe form4 plain,na mwengine mwenye taaluma ila wawe na vyeti vya jakata
HAPANA NIMEAMBIWA WAO NDO KWANZA WAMEAPA, NI LAZIMA WAWE WAMEKAA MIAKA MIWILI JKT NA MKATABA UKAISHA UKAPEWA NA CHETI NDO INAWAHUSU.Samahani mkuu hawa vijana walifunga mafunzo kuazia juzi inawahusu hii?
Kama hata wamiliki wa kampuni ya simu hawana ushirikiano au wameshindwa achana nayo...Habari zenu,
Wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu aina ya Vivo. Nimefata procedures zote polisi lakini danadana zimekuwa nyingi mpaka leo hii pia nimejaribu kwa kampuni husika nao vilevile.
So nimekuja hapa kuomba msaada wenu kwa anaeweza kunisaidia kuipata simu yangu ama kunipa mbinu zengine itakuwa vizuri pia. Nina documents zote kuhusu simu iliyoibiwa.
Naomba kuwasilisha;
Safari za kijeshi hasa zinazohusu kozi husafiri kuanzia saa 10,Inshort safari huwa za ucku.Leo vijana wa 844kj op samia waliochaguliwa kwenda kuripoti msata wapo Mbeya mjini wananunua mahitaji yao!!
Kuna kitu najaribu kukiwaza halafu nashindwa kupata majibu!!!
Watu wanaripoti kesho ....Duuh, sielewi elewi...!!
Kaka nimeiona muda sema sjui chief kama atakuwa kaona ujumbe wangu
Mkuu naona umeandika kwa herufi kubwa kutia msisitizo[emoji23]HAPANA NIMEAMBIWA WAO NDO KWANZA WAMEAPA, NI LAZIMA WAWE WAMEKAA MIAKA MIWILI JKT NA MKATABA UKAISHA UKAPEWA NA CHETI NDO INAWAHUSU.
NA HII WANATAKA WALE HASA WALIORUDISHWA MAJUMBANI NDIYO MAANA KWA WALIO MAKAMBINI HILI TANGAZO HALIWAHUSU.
Kabisa mkuu,Mujibu itakupa Credit PSRS hukoh kwenye CV