Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ni
Kama taasisi itahitaj proffesionals, huwez epuka kuchukua wa mujibu kwa kuwa ndio wamesoma, ila kwa nafasi zingine basi waliojitolea inatakiwa wawe priority kabisa
sahihi unachokisema ndio maana Kuna wakati jeshi linatangaza nafasi za ajira mbalimbali za kitaalumu kutoka uraini km madoctor na maengineer n.k, na kwa kuwa Jeshi ni taasisi lazima iwe na wataalamu mbalimbali na mara nyingi watachukua kutoka uraini lakini nafikiri kwa kuwa makambini JKT kupata taaluma hizo ni kwa uchache Sana na huwa kwa hyo makambini kule wengi wanakuwa hawana sifa hizo na sahili hizo wao haziwahusu kwa hiyo hizi nazo zinawahusu wao hivyo wengine tuwe na subra hata hao Mujibu wa sheria Mara zote huwa wanachukuliwa kila kuajiriwa kwa ajili ya kuendelezwa kitaaluma wakati hawa wengine wakibaki vikosini kuendelea kujitolea wengine wamekaa miaka2 wengine mitatu na wengine mi4 nao huu ni wakati wao.
 
Pambana Kama kweli una nia ya kujitolea kupitia JKT weka cheti Cha Mujibu kando pambania nafasi uone Kama utashindwa kurudi wako wengi wamefanya Mujibu na kujitolea ndugu yangu na wako mtaani Kama wewe katika akili ya kawaida kuwaweka kwenye mizania moja Mujibu na kujitolea katika recruitment ya ajira ya vyombo vya ulinzi na usalama si sawa kwa akili tu ya kawaida ukiwa na kijana wa Mujibu alikeaa JKT miezi 3 na aliyejitolea kwa zaidi ya miaka miwili umuajiri Jeshini unaweza kumchukua Mujibu na kumwacha aliyejitolea??
 
Kwanza kabisa hakuna Op uchumi wa kati kujitolea..!!

Pili umeandika vingiiii lakini hata wewe huelewi ulichoandika![emoji15]
 
Apambanie arudi koz km kujitolea..akisharudi kozi ni almost a year then mkataba miaka miwil amalize then akishamalza azisubil nafasi zikitoka zinakuja Umri miaka 18-26 ..na yeye ana 30....! Rubbish Talkin
 
Kwanza kabisa hakuna Op uchumi wa kati kujitolea..!!

Pili umeandika vingiiii lakini hata wewe huelewi ulichoandika![emoji15]
IQ ndogo km kidonge cha kuleta Appattite ya kula....em rudia kusoma hiyo paragraph uielewe ndo ukoment sio unakurupuka tu..Nonsense talkn
 
Alafu concept ni ndogo Sana ndio JKT ajiri ipo wazi lakini asikwambie mtu hakuna kijana yyte anayekwenda kule kujitolea bila kuwa na malengo vijana wote wakwenda kujitolea kule kwa7bu wako committed, wanapassion, na wanakwenda kuwekeza fikra zao mawazo yao yote kwamba Kuna siku fursa ya ajira itamkuta akiwa kule ingawaje wkt mwingine mambo yanakwenda ndivyo sivyo unaweza ukakaa miaka 3 na usipate asikwambie mtu hii inauma Sana kurudi nyumbani bila kutimiza lengo la wewe kuingia mule ndani yaani Kama msiba wa mtu wa karibu Sana Sasa Mujibu yeye anakwenda kwa kuwa sheria inamtaka kwenda awe mgonjwa au mlemavu anakwenda kwa kuwa sheria inamtaka hvyo kitu ambacho hakipo kwenye kujitolea muda wa mafunzo ni miezi mi3 ndani ya hiyo miezi mitatu kunakuwa na likizo mbili ya kwenda kuapply mikooo na alafu baadae Tena kwenda kuapply vyuo ndani ya hiyohyo miezi 3 syllabus yao ni tofauti na ya kujitolea ambayo mafunzo pekee ni miezi 6 hamna likizo hamna poo kazikazi paka umalize kozi ukiwa kwenye kozi unaweza hata ukapatwa na msibu nyumbani usijue paka umalize kozi alafu baada ya hapo unaendelea na malezi ya JKT kwa kuendelea na majukumu mbali ya kujitolea Kama uzalishaji mali, ulinzi n.k unaspend miaka miwili zaidi hadi mitatu katika majukumu hayohayo utakwenda shamba, utaingia zamu ulinzi na majukumu yote yanayomuhusu Askari kijana kikosini alafu Mujibu amakaa miezi mitatu anakwenda kusoma chuo ametoka chuoni zinatoka nafasi na ajira wewe unacheti Cha kujitolea umekisotea miaka mitatu wakati huo Mujibu yeye amekwenda chuoni kusoma alafu wewe una kwenda na cheti Cha hati ya kujitolea yeye anakwenda na cheti Cha hati ya Mujibu wa sheria alafu wapewe mizania moja?? Kweli?? Hata polisi, magereza na uhamiaji waangalie hilo itakuwa sawa
 
Apambanie arudi koz km kujitolea..akisharudi kozi ni almost a year then mkataba miaka miwil amalize then akishamalza azisubil nafasi zikitoka zinakuja Umri miaka 18-26 ..na yeye ana 30....! Rubbish Talkin
Heeh?? Kwn lazima kila mtu awe Askari Kama hawezi apambane na mishe nyingine maanake hataweza kuwa na sifa zinazohitajika kuwa Askari Jeshi afu Kama una professional potential kwa jeshi unaweza kuajiriwa na jeshi even ukiwa na 35 broh.
 
Naungana na wew na hoja hii moja kwa moja boss
 
Yan umeandika Waraka wa Amani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule..kwa lengo tu la kutetea tumbo lako binafsi..sas for your information jeshi sio la watu kutoka Ikwiriri..lolote linatokea..mana hata 65% ya walio jitolea jkt lait wangelifika form six fagio la mujibu lisingewaacha salama📌 PDF ndo zitaongea zaid story zingine zote tupa kapuni ka' big G iso na ladha
 
Op uchumi wa kati kujitolea ilifutwa vijana walifukuzwa badae walirud jina likabadilishwa op makao Dodoma ndo ikapewa hyo intake[emoji419][emoji375]
Af we jamaa unakua mbishi wakati hujui Hakuna Op uchumi ya kujitolea ilipita ya mujibu tu na Op makao haijawahi ingia jeshini na kurudishwa nyumbani acha kuchanganya ma desa
 
Kwaiyo kwa Akili yako ndg unadhani wa kujitolea wote hawajafika form six dg wa kujitolea wapo kuanzia la saba mpk Masters sawa
 
Af we jamaa unakua mbishi wakati hujui Hakuna Op uchumi ya kujitolea ilipita ya mujibu tu na Op makao haijawahi ingia jeshini na kurudishwa nyumbani acha kuchanganya ma desa
Emu uje kwanza tufahamiane unifaham ndo ujue sijui au wew ndo hujui
 
Kwaiyo kwa Akili yako ndg unadhani wa kujitolea wote hawajafika form six dg wa kujitolea wapo kuanzia la saba mpk Masters sawa
Em futa hilo neno "dg" kwanza... Afu pili Rudi darasani inaonyesha una tatzo hususan la IQ kuelewa kwa haraka taarifa...em rudia kusoma uelewe ndo ujibu mafi tena
 
Angalizo:- JF msipe kujifanya Wajuaji Hizi Ajira za Jeshi Hazitolewi na miungu wala Wajomba zenu kutoka Ikwiriri, nendeni Dodoma na kaki zenu wa mujibu na kujitolea Op merelani sjui Op gan msubiri kuitwa 1 April mkiitwa mje inbox niwatumie pesa mnipe Acc no zenu
 
Target Makao, nimesha sema km yupo wa makao humu aje mi ntamgaramia hta nauli ya Dodoma na kurudi mana hili tangazo ndo limemlenga. Fulstop📌 na sio lazima unikubali mi sifany Approach wala agenda ya siasa hpa
 
Em futa hilo neno "dg" kwanza... Afu pili Rudi darasani inaonyesha una tatzo hususan la IQ kuelewa kwa haraka taarifa...em rudia kusoma uelewe ndo ujibu mafi tena
We nd una uelewa mdg hata wa kujitolea kuna ambao walipita mujibu wakaenda vyuo alafu wakarudi Tena kujitolea alafu unataka uwaweke chungu kimoja
 
Af we jamaa unakua mbishi wakati hujui Hakuna Op uchumi ya kujitolea ilipita ya mujibu tu na Op makao haijawahi ingia jeshini na kurudishwa nyumbani acha kuchanganya ma d
We nd una uelewa mdg hata wa kujitolea kuna ambao walipita mujibu wakaenda vyuo alafu wakarudi Tena kujitolea alafu unataka uwaweke chungu kimoja
For Your Info:- Mi niko 92 hpa SangaSanga For 6 years hivyo nachokiongea nakifaham na nna uhakika nacho..stokujibu tena
 
We nd una uelewa mdg hata wa kujitolea kuna ambao walipita mujibu wakaenda vyuo alafu wakarudi Tena kujitolea alafu unataka uwaweke chungu kimoja
Sijawaweka chungu kimoja elewa mi nmem crash huyo aliesema hata PT, MT, UT waangalie wao kujitolea,,sasa hii nchi ni ya babu yake kwamb Hizo Ajira za Idara za usalama kila mwaka ziende kwa wakujitolea tu inamana Hao mujibu hawakupita jeshini..em chekecha akili wew Alaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…