Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Humu ndani Kuna watu wazito na huu uzi wanaupitiaga pia ,wapo ambao wamepata michongo kupitia JF.tuheshimiane hatujuani kiundani unaweza shangaa mtu anakufata in-box anakuonyesha njia na unafanikiwa.pia vishoka wapo tuwe makini
 
Jamani kama kuna mtu mwenye uwezo wakunisaidia niingie chomboni! Naomba anipe support! Najikuta nashindwa kufanya kazi nyingine yani nimechanganyikiwa na haya majeshi! Vyeti ninavyo pia umri unaruhusu! Elimu ni degree
 
Haya majeshi yatanikondesha mwenzenu! Nipo tayari hata kurudia kozi jkt mwenzenu hata wakisema jitolee miaka 4 nipo tayari
 
Haya majeshi yatanikondesha mwenzenu! Nipo tayari hata kurudia kozi jkt mwenzenu hata wakisema jitolee miaka 4 nipo tayari
Ukizeekea mtaani na ukajikuta bado huna mishe ya kueleweka ndio utaelewa kuwa maisha sio majeshi peke yake....wewe unataka kuingia...wengine wanatoka. Acha kutegemea kitu kimoja unless kama bado unalishwa kutoka nyumbani.
 
Kaka mfwende sawadogo kimya sana.rafiki yangu nakukubali kwa lonja ebu tuletee lonja.
daah UT wamenikata mdomo chama langu, ila graduates kujiunga na haya majeshi uwe na kismart na maelekezo makubwa kutoka juu. vp una access na mzee wa pale raphael kubaga ? mwambie akusaidie japo mkono mtupu haulambwi. unajua bado nawaza sana ni mtu ambaye anaheshimiana sana na mbanga yangu ,ila kwa lile genge nae alikua mtazamaji tu champ, jitahidi ufungue ajira portal pia upambane na utumishi, mtafutaji ni mwiko kukomalia upande mmoja, jitahidi ujiajri na kamishe kokote ama fanya hata ulinzi huku ukisikizia mambo mengine yaseto.
 
Sawa rafiki ushauri mzuri sana,ila vipi huyo mbanga wako analonja gani kuhusu UT adi sasa na vipi magereza uliomba
 
Ndugu nikikuonaga comments zako namkumbuka na kunguru wa manzese
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…