Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mjomba Luanda..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. A.D Luanda. Charlee Oscar 839
 
Wakuu msimchukulie serious sana kijana.

Nadhani zilikuwa ni show off tu..[emoji28]
 
Huyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
Walio na maelekezo wengi wanapelekwa tu kwa sababu kuna tatzo la ajira ila kiuhalisia hawazikubali hizo kazi
 
Nikajua kumetema nimeona chat nyingi Sana kumbe kuna kiumbe kimeingia maboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…