mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Dahh dogo alikuwa kitengo kisicho na ushindani mkubwaaAah wapi, mmoja alishakatwa yeye aliitiwa michezo akazingua mwenyewe kwenye tizi taifa.
Alizingua kuingia kwa mchezo mmoja tu, aliandika soka wakati kazoea chandimu.Dahh dogo alikuwa kitengo kisicho na ushindani mkubwaa
Dah pole yake asee...Mambo ya Soka watu hukamia Sana UsailiAlizingua kuingia kwa mchezo mmoja tu, aliandika soka wakati kazoea chandimu.
Kwenye usaili akakutana na miamba imetoka cambiaso Academy wanapiga boli kama hawana akili nzuri [emoji23]
Tangazo nashindwa kulipata kutoka kwa hii app,ila utahitaji hiii kituView attachment MEDICAL-EXAMINATION-FORM-FIRE-AND-RESCUE-FORCE.pdfNaomba mnisaidei mwenye tangazo la jeshi la zima moto wadau.. Ambae mwenye nalo[emoji120]
Aise namba kubwa sana 2030 ndio MaAna mwaka huu wakaamua Ku recruit juniors na sio educated wataotaka kwenda uafisaKuwa na subira.
Jana kulikua na mahafali ccp ya wakaguzi wasaidizi wa polisi (2030).
Nadhani wakishatoka wote, intake yenu ndo mtaingia.
Hii form inapatikn hospital?Tangazo nashindwa kulipata kutoka kwa hii app,ila utahitaji hiii kituView attachment 1969547
Namba kubwa sana ya maafisa hiyo, tatizo watu walikaa muda sana bila kupanda madaraja, bora hao walivyopanda napo wa chini watapanda mfano Pc kwenda koplo etcAise namba kubwa sana 2030 ndio MaAna mwaka huu wakaamua Ku recruit juniors na sio educated wataotaka kwenda uafisa
Kati yao mmoja alikua na PhD, wachache post graduate diploma, wachache masters.. Karibia 1700+ ni degree, diploma etcAise namba kubwa sana 2030 ndio MaAna mwaka huu wakaamua Ku recruit juniors na sio educated wataotaka kwenda uafisa
Hapana,hii ni form yao wenyewe una print then unaenda nayo hospital ndugu doctor akujazieHii form inapatikn hospital?
Na hii baada ya mheshimiwa Rais kusema eeeh?Namba kubwa sana ya maafisa hiyo, tatizo watu walikaa muda sana bila kupanda madaraja, bora hao walivyopanda napo wa chini watapanda mfano Pc kwenda koplo etc
Naona hivyo bossNa hii baada ya mheshimiwa Rais kusema eeeh?
Hii namba imekua kubwa kwa sababu kwa miaka. 5 ya mzee baba watu hawakupanda vyeo so kupanda kwa hao kwenda maofisa pia wangazi za chini nawenyewe wanaenda kupanda pia...hivyo kutabak na ombwe chini ambalo bogi mpya litaenda kufill piaAise namba kubwa sana 2030 ndio MaAna mwaka huu wakaamua Ku recruit juniors na sio educated wataotaka kwenda uafisa
We umesikia wapi?J.3 au J.4 kila kitu kitakua tayari[emoji91][emoji91][emoji91]
Get prepared
hawawez zikosa mkuuila kama proffesional walizo tangaza wakizikosa JKT waje tu uraiani
sawa sema sasa ivi wale wa form six c wapo wakutoshahawawez zikosa mkuu
Ndo kimbilio letu malofaKazi ya kujitoa utimamu
Kama imehitajika..wawezaWakuu hv ile form ya hospital ya fire naweza kuaattach kwenye majesh mengine kama magereza na uhamiaji