kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
polisi wame upload Tangazo ambalo limepitwa na wakatiPolisi au jeshi gani
Liniwametoa tangazo lingine
Linasemaje mkuu ili tusipotezeane bundle kwenda kulichek[emoji3]polisi wame upload Tangazo ambalo limepitwa na wakati
Mbona sijaliona kwa web yao em tuma tuonepolisi wame upload Tangazo ambalo limepitwa na wakati
unatumia simu gani wwMbona sijaliona kwa web yao em tuma tuone
umeonaNi kweli matangazo ya Leo tarehe 11/10/2021 yamekuwa modified...Nimeingia website ya PT nimejionea
Nmeona poor ITunatumia simu gani ww
Ndiyoo nimeona asee...Kuna mdau humu ndani sijui ni wewe ulisema Lonja fulaniiumeona
hapana sio mimiNdiyoo nimeona asee...Kuna mdau humu ndani sijui ni wewe ulisema Lonja fulanii
[emoji28][emoji28]Mmmmhh Lonja ya Uhakika ni Choo Cha Kulipia tu humu ndani....
Au na wewe Kaplizer unataka kuwa shujaa wa Uzi huu dakika za Mwisho? Hahahahahahahah
Hahahahahaah ni kweliii nlimkatalia hapaa hahahaha[emoji28][emoji28]
Hahahaha et eeheeeeNtafurahi nkajua tarehe rasimi ya kusepa CCP wakuu...
Haya matangazo yanaashiria nini Wakuu?Ntafurahi nkajua tarehe rasimi ya kusepa CCP wakuu...