Nafasi za kazi KKKT : Dayosisi ya Mashariki na Pwani

Nafasi za kazi KKKT : Dayosisi ya Mashariki na Pwani

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
5,158
Reaction score
1,688
1. Position: Mkuu wa Shule

ELCT- ECD

Job Summary
SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MKUZA inatafuta MKUU WA SHULE haraka!

SIFA ZA MWOMBAJI:
  1. Awe na Shahada ya kwanza ya Elimu au Shahada ya uzamili ya Elimu
  2. Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika nafasi ya Mkuu wa Shule/Makamu Mkuu wa Shule/Mwalimu wa Taaluma
  3. Awe na umri kuanzia miaka 40
  4. Awe ni Mwanamke

MAELEZO JUU YA KAZI NA UWAJIBIKAJI
  1. Atawajibika kwa Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii
  2. Atakuwa Mkuu wa Shule,
  3. Atakuwa Muwajibikaji na Mtendaji Mkuu kwa Mambo yote ya Shule na Katibu wa Bodi ya shule.
  4. Atatasimamia na kutekeleza Maagizo na Maelekezo ya Bodi, Dayosisi na Serikali.
  5. Atakuwa Muitishaji wa vikao vya Bodi, Walimu, Watumishi, na vingine vyote kwa mujibu wa Kanuni na Matakwa ya Madaraka yake.
  6. Atakuwa Msimamizi wa utekelezaji wa Sera ya Elimu na miongozo ya Dayosisi.
  7. Atakuwa Mtafsiri na Msimamizi wa Utekelezaji wa Ndoto ya Dayosisi na ya Elimu Kitaifa.
  8. Atakuwa Mdhibiti Mkuu wa Mapato na Matumizi ya shule.
  9. Atakuwa kiungo kati ya Wazazi/Walezi, Wanafunzi, Walimu na Watumishi.
  10. Atakuwa Msimamizi wa Uandaaji na utekelezaji wa Mpango Mkakati wa shule.
  11. Atakuwa Msimamizi na Mboresheji wa Miundo mbinu ya shule.
  12. Atasimamia Maslahi ya Dayosisi wakati wote wa Utumishi wake.
  13. Atafanya kazi nyingine yoyote atakayoagizwa na Bodi au Mmiliki wa shule
TARATIBU ZA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yaambatanishwe na vyeti vya Taaluma

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14 Feb 2020

MAOMBI YATUMWE KWA:
KATIBU MKUU
KKKT : DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
Luther House Building, P.O. Box 837,
DAR ES SALAAM.
Email: [email protected]



2. Position: Head of Real Estate – ELCT- Eastern Coastal Diocese
ELCT- ECD

Job Summary
ELCT- Eastern Coastal Diocese is actively looking for a highly branded personnel to fill in the the title of "Head of Real Estate"

Job Description
  1. Plans, directs, and coordinates work of survey parties, and related staff, engaged in surveying of all un-surveyed Eastern Coastal Diocese plots and preparing reports and legal descriptions of land to unsure full ownership.
  2. Prepares or approves budget for unit or organization within assigned area of responsibility. 3. Coordinates work of LAND SURVEYOR with all relevant authorities and making sure that the tittle deeds are timely secured
  3. Directs survey parties and projects, and reviews and certifies completed work to satisfy legal requirements.
  4. Writes or directs the writing of descriptions of land to satisfy legal requirements according to standard surveying practices.
  5. Appears as expert witness in court in cases involving land or boundary disputes.
  6. Monitors new technology, and evaluates and purchases or authorizes purchase of new properties
  7. Selects new staff for employment and takes disciplinary action when necessary.
  8. Perform or delegate survey tasks to ensure all scope of work elements are completed, 10. Serve as the primary project technical expert and assist with technical problem resolution.
  9. Understand the project scope of work and the goals and expectations of the client.
  10. Provide input on project safety plan and ensure work activities are compliant.
  11. Track project schedules, costs and estimates to complete and adjust production as necessary.
  12. Ensure technical work complies with processes and procedures.
  13. Ensure that all checking and approval activities are completed prior to transmitting deliverables.
  14. Support leadership vision and nurture group culture
  15. Perform any other duty as may be assigned
Qualification
  1. Bachelor’s degree with registration in applicable field preferred
  2. A minimum of 4+ years of relevant experience, preferably in an surveying
  3. Experience completing all technical aspects of a surveying task is required
  4. Board registration of Land Surveyor is required
  5. Very familiar with Evangelical Lutheran Church working environment and culture
  6. Substantial knowledge in all areas of surveying, including topography, route, boundary (ALTA/ACSM), leveling, GPS, Right of Way plats and descriptions, including both field and office work.
  7. Experience with Micro Station, AutoCAD and state of the art GPS, total station and digital leveling instruments required.
  8. Provide oversight, QA/QC for field and office survey work.
  9. Good appreciation of professional and project-based matters;
  10. Looks for opportunities to bring and build value, delivering client solutions which exceed expectations.
  11. Able to contribute to business development activities;
  12. Able to plan and manage own workload;
  13. Computer literate including Word, Excel and ideally MS Project;
  14. Ability to prioritize and co-ordinate tasks efficiently ensuring all deadlines are met;
  15. Team player who deals effectively with colleagues and clients;
MODE OF APPLICATION
  1. Application letter endorsed by Pastor in charge of the Parish/ Sub Parish attached with copies of relevant certificates and CV.
  2. The letter should be addressed to the under mentioned address before 15th February Application letter endorsed by Pastor in charge of the Parish/ Sub Parish attached with copies of relevant certificates and CV.
  3. The letter should be addressed to the under mentioned address:

SECRETARY GENERAL
ELCT- Eastern and Coastal Diocese. P.O.BOX 837.
DAR ES SALAAM
Email: [email protected]


PHYSICAL ADRESS: Luther House Sokoine Drive.
 
Saafi.. Kanisa letu linafanya vizuri lakini tusipokuwa na kiasi, tutaligeuza kuwa Real Estate company.
Sharika nyingi za Dar zimeingia kwenye mashindano ya ujenzi na kusahau majukumu ya msingi kama kuhudumia wazee, wajane, yatima, wagonjwa na wasio jiweza pamoja na kusambaza injili.
Sharika zote ambazo zimemaliza kujenga majengo ya ibada sasa zijikite kwenye huduma za jamii na huduma za kiroho badala ya kuegemea kwenye kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom