Palamana Ntweko Member Joined May 13, 2014 Posts 19 Reaction score 7 Aug 1, 2021 #1 Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaamKwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya Mhasibu au Mkaguzi wa Ndani pls aje inbox 📨
Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaamKwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya Mhasibu au Mkaguzi wa Ndani pls aje inbox 📨
proff g Senior Member Joined Jul 16, 2016 Posts 146 Reaction score 113 Nov 23, 2021 #2 Ilishapata mtu hii nafasi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 23, 2021 #3 Ngoja waje kuchukua muongozo...