Nafasi za kazi Kwenye Bar

Nafasi za kazi Kwenye Bar

Alatanga0605

New Member
Joined
Dec 2, 2024
Posts
3
Reaction score
5
Wakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza
nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na jikoni ni laki moja kwa kuanza.Kulala ni hapo hapo kazini.Ofisi zipo Tanga wilaya ya Pangani

Kwa maelekezo zaidi piga
0742211103
0679639335
 
Jamani fursa watu wa Tanga, ila nawapenda watu wa Tanga kwa ukarimu jaman
 
Wakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza
nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na jikoni ni laki moja kwa kuanza.Kulala ni hapo hapo kazini.Ofisi zipo Tanga wilaya ya Pangani

Kwa maelekezo zaidi piga
0742211103
0679639335
Kwa biashara hiyo kwa uzoefu wangu tembelea kwenye mabaa chagua wahudumu watatu wakali na wahudumu wawili wa kawaida lakini wachapa kazi

Wahudumu wazuri ni kivutio kwa wateja ila Kuna risk zake, muhudumu mzuri Huwa hawadumu sana na hata ratiba za kuingia kazini hazieleweki hawakawii kulala nyumbani, hapo ndiyo wahudumu wa kawaida wanaokoa jahazi

Pili makaunta jitahidi upate wanaoijua kazi na wanaofahamika

Jikoni nashauri mpe mtu aendeshe jiko wewe chukua Kodi tu, biashara ya chakula halafu sehemu yenyewe haijachangamka ni hasara sana utajikuta unatoa pesa counter unapeleka jikoni

Kiufupi kazi ya baa ili utoboe zingatia haya

1) Wahudumu wazuri na wachapakazi na discipline

2) usafi wa eneo, jikoni na wafanyakazi

3) jiko liwe safi na wapishi wazuri

Hapo unaweza ukaiona biashara ya bar ni nzuri lakini katika hivyo kikifeli kimoja kinaua vingine vyote
 
Ungeishia Aya ya tatu Tu

Hayo mengine umeleta utanzania tu
 
Nashkuru sana kwa ushauri huu
 
Back
Top Bottom