Alatanga0605
New Member
- Dec 2, 2024
- 3
- 5
π100000/30=333.3 ndo unamlipa hiyo kwa siku siyo
Ni 3333 sio 333.3100000/30=333.3 ndo unamlipa hiyo kwa siku siyo
Hii hesabu yako umeifanyaje mkuu mpk umepata jibu 333.3?? π€100000/30=333.3 ndo unamlipa hiyo kwa siku siyo
Ata mie backbencher siwezi piga hesa u namna hiyoHii hesabu yako umeifanyaje mkuu mpk umepata jibu 333.3?? π€
Jamani fursa watu wa Tanga, ila nawapenda watu wa Tanga kwa ukarimu jamanWakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza
nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na jikoni ni laki moja kwa kuanza.Kulala ni hapo hapo kazini.Ofisi zipo Tanga wilaya ya Pangani
Kwa maelekezo zaidi piga
0742211103
0679639335
πΉπΉπΉAta mie backbencher siwezi piga hesa u namna hiyo
Karibu sana Tanga mkuuJamani fursa watu wa Tanga, ila nawapenda watu wa Tanga kwa ukarimu jaman
3.3 samahani mkuu ni typing errorHii hesabu yako umeifanyaje mkuu mpk umepata jibu 333.3?? π€
Kwa biashara hiyo kwa uzoefu wangu tembelea kwenye mabaa chagua wahudumu watatu wakali na wahudumu wawili wa kawaida lakini wachapa kaziWakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza
nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na jikoni ni laki moja kwa kuanza.Kulala ni hapo hapo kazini.Ofisi zipo Tanga wilaya ya Pangani
Kwa maelekezo zaidi piga
0742211103
0679639335
Ungeishia Aya ya tatu TuKwa biashara hiyo kwa uzoefu wangu tembelea kwenye mabaa chagua wahudumu watatu wakali na wahudumu wawili wa kawaida lakini wachapa kazi
Wahudumu wazuri ni kivutio kwa wateja ila Kuna risk zake, muhudumu mzuri Huwa hawadumu sana na hata ratiba za kuingia kazini hazieleweki hawakawii kulala nyumbani, hapo ndiyo wahudumu wa kawaida wanaokoa jahazi
Pili makaunta jitahidi upate wanaoijua kazi na wanaofahamika
Jikoni nashauri mpe mtu aendeshe jiko wewe chukua Kodi tu, biashara ya chakula halafu sehemu yenyewe haijachangamka ni hasara sana utajikuta unatoa pesa counter unapeleka jikoni
Kiufupi kazi ya baa ili utoboe zingatia haya
1) Wahudumu wazuri na wachapakazi na discipline
2) usafi wa eneo, jikoni na wafanyakazi
3) jiko liwe safi na wapishi wazuri
Hapo unaweza ukaiona biashara ya bar ni nzuri lakini katika hivyo kikifeli kimoja kinaua vingine vyote
Mkuu huo ni ushauri wangu, pili Mimi ni mtanzania hujakosea ndiyo maana nimetimiza utanzania wangu kwenye hiyo commentUngeishia Aya ya tatu Tu
Hayo mengine umeleta utanzania tu
Ahsante my dearKaribu sana Tanga mkuu
Nashkuru sana kwa ushauri huuKwa biashara hiyo kwa uzoefu wangu tembelea kwenye mabaa chagua wahudumu watatu wakali na wahudumu wawili wa kawaida lakini wachapa kazi
Wahudumu wazuri ni kivutio kwa wateja ila Kuna risk zake, muhudumu mzuri Huwa hawadumu sana na hata ratiba za kuingia kazini hazieleweki hawakawii kulala nyumbani, hapo ndiyo wahudumu wa kawaida wanaokoa jahazi
Pili makaunta jitahidi upate wanaoijua kazi na wanaofahamika
Jikoni nashauri mpe mtu aendeshe jiko wewe chukua Kodi tu, biashara ya chakula halafu sehemu yenyewe haijachangamka ni hasara sana utajikuta unatoa pesa counter unapeleka jikoni
Kiufupi kazi ya baa ili utoboe zingatia haya
1) Wahudumu wazuri na wachapakazi na discipline
2) usafi wa eneo, jikoni na wafanyakazi
3) jiko liwe safi na wapishi wazuri
Hapo unaweza ukaiona biashara ya bar ni nzuri lakini katika hivyo kikifeli kimoja kinaua vingine vyote
Wewe na hayo mahesabu watakupiga ππππ100000/30=333.3 ndo unamlipa hiyo kwa siku siyo