Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Hy ya mwisho kusema uweke cheti cha degrees/ diploma etc n ishu ya copy and paste tuu Ila hata sio kosa kubwa mana hata utumishi hua wanafanya hvy tena hadi kwenye zile kazi za kuhitaji elimu ya aina moja.

Hapo napo kwenye idadi ya nafasi napo kichomi πŸ˜‚

Ishu ya Gmail nayo pia inatia wasiwasi, japokuwa n kawaida tuu.

Anyway, kama vigezo vipo, ww ruka nayo tuu mwisho wa siku hawatokushikia panga ili ukubali mkataba.
 
Pole sana boss wako ni MBWA(management by walking)😎

Wewe mtafute Poor Brain mchanganye bongo zenu mfanye makubwa! Kwa elimu uliyonayo jitahidi uwe your own boss! Mambo ya kuajiriwa utajikuta unapata heart attack!

Au kavipi tafuta IT apush hizo likes na comments fake anazotaka muajiri wako mpumbavu!

Gud mornille😎
 
Basi kuweni makini tu, mtakutana na matapeli humu bila kuwa makini hivi!
All in all usitoe pesa wakati unaomba kazi yoyote!
 
Kuweni makini tafadhali.
 
Cha ajabu kwenye hizi kazi hutakiwi kabisa kuwa mtumiaji😎
Kuna mzee aliwahi kuniambia aliwahi kufanya kazi hapo, anasema kuna eneo maalum la kuvutia sigara ila sio wakat wa kazi ila hauruhusiwi kuondoka na hata sigara moja
 
Kuna mzee aliwahi kuniambia aliwahi kufanya kazi hapo, anasema kuna eneo maalum la kuvutia sigara ila sio wakat wa kazi ila hauruhusiwi kuondoka na hata sigara moja
Duh wanazingua!
 
Hello

Nahitaji sales person, mwenye uzoefu na kuzungumza na wateja mshahara 500,000 kwa mwezi

Tuma cv na picha kwa namba Β±255769516170
 
🚨 URGENT HIRING – COST CONTROLLERS | ZANZIBAR 🏨🌴

A 5-Star Hotel in Zanzibar is urgently looking for:

πŸ”Ή Junior Cost Controller
πŸ”Ή Mid-Level Cost Controller

Requirements:
βœ… Diploma/Degree in Accounting, Finance, Procurement, or related field
βœ… Relevant experience in Cost Control, Accounting, Procurement, or Inventory
βœ… Hospitality/Hotel experience is an added advantage
βœ… Strong analytical, numerical, and MS Excel skills
βœ… Good understanding of stock, purchasing, and cost control procedures
βœ… High attention to detail and strong integrity

πŸ“ Location: Zanzibar
⚑ URGENT POSITION – Immediate availability is highly preferred.
πŸ“… Deadline: 15 August 2026

πŸ“² Apply via WhatsApp: 0650 117 201

Please state the position you are applying for when sending your CV.

#UrgentHiring #ZanzibarJobs #CostController #HotelJobs #HospitalityJobs #TanzaniaJobs
 
🌴 CNS Group is Hiring for a Luxury Hotel in Zanzibar! (Shah Palace Hotel)

Are you passionate about hospitality and ready to build your career in one of Zanzibar’s premier luxury hotels? This is your opportunity to join a professional team at the Shah Palace Hotel, committed to delivering exceptional guest experiences.

We're Hiring:
πŸ‘¨β€πŸ³ Cooks / Scullers – 10 Positions
🍽️ Waiters / Waitresses – 15 Positions
πŸ›ŽοΈ Doormen / Porters – 3 Positions

Whether your expertise is in the kitchen, restaurant service, or guest relations, we'd love to hear from you.

πŸ“ Location: Zanzibar (Shah Palace Hotel)
🏨 Industry: Hospitality (Luxury Hotel)
πŸ“… Application Deadline: 19th August 2026

Apply today:
🌐 careers.cnsgroup.africa

πŸ“ž +255 742 772 000 | +255 748 506 205
πŸ“§ info@cnsgroup.africa

Take the next step in your hospitality career with CNS Group.

#HospitalityJobs #ZanzibarJobs #HotelCareers #CareerOpportunity #CNSGroup
 
Accounts Receivable & Collections Officer
Tunatafuta Accounts Receivable Officer mwenye background nzuri kwenye debt collection

Majukumu:
  • Kufuatilia invoices na outstanding payments.
  • Kufanya customer follow-up na collections.
  • Kuandaa AR aging na kufanya account reconciliation.
  • Kushughulikia payment queries za wateja.

Sifa:
  • Diploma/Degree ya Accounting/Finance ( 2 years)
  • Uzoefu wa AR na collections.
  • Communication, negotiation na Excel skills nzuri.
  • ⁠Kutumia ERP system
Share cv through 0699503501
Deadline 11th august
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…