Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Tumeshinda juziTuna
FBI na BIG sasa hivi
Bradley, Isak na Gakpo
Frolian, Bradley na Isak
Liverpool bingwa πππ
NYWA
Ningekufafanulia ila shida ulinidanganya janaNi vitu gani hivi?π
UlishaniangushaAki leo sikuangushiπ
Mkuu Maxence MeloIla kwa hii thread
Nitamwambia Melo akupe u platinum member kama Manyanza
Hongera mkuu lete updates za kesi ya TAL sasaMiaka 16 Mkuu nipo humu, sijawahi kupata Ban na nimekuwa ni mdau pia
Hahaha jitahidi uwe navyo maana na wewe muda mwingine huwa unapaniki mpaka kutoa maneno mabaya japo una play party kubwa sana.Vigezo vya kupewa hicho cheo vipo
Zitakuja inshallah πHongera mkuu lete updates za kesi ya TAL sasa
Maxence Melo shkamoo Brother.Mkuu Maxence Melo
Hawa Members Seran na ShesRise_1 wanastahili badges za Platnum kabisa.
Huu uzi wa kazi mbalimbali ulioanzishwa na Seran unawapatia watu kazi na kuboresha maisha yao.
Vile vile nyuzi za ShesRise_1 zinagusa sana maisha ya watu wengi na huwa zinapata wachangiaji wengi pia.
Litazameni hilo Mkuu π