Tunakaribisha vijana wa kike na wa kiume wenye uwezo na nia ya kufanya kazi katika hoteli, burudani na starehe.
Nafasi zinazohitajika:
-
Management: Supervisor (2), Madame (2), Accountant (1), Controller (1), Receptionist (2), Storekeeper (1)
-
Service & Hospitality: Waiters (40), Counter Staff (6), Chefs (6), Barista (1), Cleaners (4), Mixologist (1), Dish washers (4)
-
Entertainment: DJs (4), Sound Engineer (1), Master Light (1), Hypeman (1), Photographer (1), Dancers (5)
-
Marketing: Bango Girls (6), Bango Boys (2), Graphic Designer (1)
- Front of House: Cashier (1)
- Security: Bouncers (6)
Sifa: Umri 18+, uzoefu, mawasiliano mazuri, utayari wa kufanya kazi kwa kasi, mwonekano wa kitaaluma.
Mahali: Shinyanga mjini, opposite NSSF mpya (madini ya dhahabu)
Deadline: 18/9/2026
Lete: CV, barua ya kazi, barua ya serikali za mitaa na NIDA
Wasiliana: 0627950029 / 0713630029