Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Sales representatives&Operation Manager

πŸ“ Mwenge, Dar es Salaam

πŸ’Ό Position: Sales Representative – Construction Chemicals
πŸ’° Mshahara: TZS 700,000–1,200,000

βœ… Sifa:
β€’ Civil/Water Engineering au field inayohusiana
β€’ Uzoefu wa miaka 1–3 kwenye sales/construction
β€’ Uzoefu wa industrial chemicals
β€’ Communication skills nzuri

Operation manager anahitajika
Uzoefu wa kazi ya kusimamia kampuni inayofanya delivery na general supplier miaka 3. Salary 600K

Fika ofisi za ajira na Biashara kigamboni sido au wasiliana na huduma kwa wateja 0725 110 177
 
Kwenye hii list, kitu pekee ambacho kipo kwenye CV yangu ni no. 3 πŸ˜‚
 
2. Your high school and primary details if you have attended college
Hv high school si n advanced education level Au?
Kwamba h nayo itoke, hvy Ht ordinary education level itoke ibaki chuo tuu?

Mana CV yangu ina form four, six na diploma yangu ya kuzugia
 
Hv high school si n advanced education level Au?
Kwamba h nayo itoke, hvy Ht ordinary education level itoke ibaki chuo tuu?

Mana CV yangu ina form four, six na diploma yangu ya kuzugia
Ndio, na ukishavifuta inabaki page moja😁
 
Mm naona n sahihi kuwepo ili isije ikakupa usumbufu kwenye usaili, wahusika wajipime wnyw kwamba huyu mzee tumuite au tumuache asije akatuachia laana ofisin
Ukienda pale watakukadiria tuπŸ˜‚
 
Ah labda nifute ya form four tuu aisee, h n kwa private.
Ila za serikali form four naiacha mana ndo level wanayoanza kuitambua
Ukiifuta psrs kwanza huwezi kuapply popote! Hata private sio zote zinataka ufute inategemea na position.
 
Wale walimu

Tunahitaji walimu wawili WA Daycare na Mmoja WA primary mshahara kwa walimu WA daycare ni200000/= ila kwa yule WA primary ni mazungimuzo na mwajiri. Shule IPO MEATU MJINI
Director Meatu
Mobile +255626020790
Mobile +255626020790
 
Wewe utafukuzwa mapema sana!
Wafanyakazi wenzangu huja mara kwa mara kuniomba ushauri wa kifedha, mimi kwa nia njema nikawa nawashauri wawe membaz wa CHAPUTA, wao wakawa wanamwambia bosi kuwa ndege mdinya nawashauri vibaya πŸ₯²

Wanadamu bwana!
 
Kuna baadhi ya vitu hapa vinaaply makampuni ya kimataifa tu lakini makampuni yetu ya kiswahili watakuona mjuaji hapo mfano ni hyo tarehe ya kuzaliwa kwa sababu unakuta wameshaweka range ya umri wanayemtaka na wengine unatuma cv tu wanajuaje umri wako ili uwe shortlisted?? Lakini vingine vyote naunga mkono hoja .


Kwa mfano kampuni za kimataifa hata referees naandika available on request na wanakuita kwenye interview ila sasa jichanganye kwa waswahili wataona una dharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…