Namimi nimewaza hivyo! Yani uondoe biography yako nani akuite? Nchi ngumu hii na hawabembelezi kwenye suala zima la kuajiri!Kuna baadhi ya vitu hapa vinaaply makampuni ya kimataifa tu lakini makampuni yetu ya kiswahili watakuona mjuaji hapo mfano ni hyo tarehe ya kuzaliwa kwa sababu unakuta wameshaweka range ya umri wanayemtaka na wengine unatuma cv tu wanajuaje umri wako ili uwe shortlisted?? Lakini vingine vyote naunga mkono hoja .
Kwa mfano kampuni za kimataifa hata referees naandika available on request na wanakuita kwenye interview ila sasa jichanganye kwa waswahili wataona una dharau.
Kwa huo mshahara, unategemea ufanisi wowote katika kazi?Wale walimu
Tunahitaji walimu wawili WA Daycare na Mmoja WA primary mshahara kwa walimu WA daycare ni200000/= ila kwa yule WA primary ni mazungimuzo na mwajiri. Shule IPO MEATU MJINI
Director Meatu
Mobile +255626020790
Mobile +255626020790
Sasa kama Manager analipwa laki 6,hao wa chini yake wanalipwa chochote kweli?Sales representatives&Operation Manager
📍 Mwenge, Dar es Salaam
💼 Position: Sales Representative – Construction Chemicals
💰 Mshahara: TZS 700,000–1,200,000
✅ Sifa:
• Civil/Water Engineering au field inayohusiana
• Uzoefu wa miaka 1–3 kwenye sales/construction
• Uzoefu wa industrial chemicals
• Communication skills nzuri
Operation manager anahitajika
Uzoefu wa kazi ya kusimamia kampuni inayofanya delivery na general supplier miaka 3. Salary 600K
Fika ofisi za ajira na Biashara kigamboni sido au wasiliana na huduma kwa wateja 0725 110 177
Wewe unaweza kuishi kwa mshahara huo?Ndio mishahara ya day care, we mgeni nini?
Ishu sio elimu, ishu ni kuridhika na kukubaliana kile unacholipwa. Mbona hata Magufuli JP alijishushia mshahara? 😃Sasa kama ndio elimu yangu inaishia hapo ntalazimisha mshahara wa daktari? Tena bora huo kuna watu wanalipwa 150🤦🏽♀️
Kweli kabisa, sasa mishahara inapangwa kulingana na wimbi kubwa la wahitaji, wangekuwa nadra wala mishahara isingekuwa hii!Ishu sio elimu, ishu ni kuridhika na kukubaliana kile unacholipwa. Mbona hata Magufuli JP alijishushia mshahara? 😃