Umekosa attention kote uko ulikohangaika, umeona uje uanze ule ujinga wako, ukifikiri tutapoteza muda na wewe! Nenda kaanzishe huko manyuzi yako tutolee wazimu wako hapa!Hivi kuuliza sio ujinga ni kwa nini mtu awaamini nyie?
A umeanza ule ujinga wako ! Ukifikiri kuna mtu
From no where tu mtu hana connection hajui location, hana exposure aje aanze kupiga namba mgeni, then aombe hela ya usaili au kushika nafasi?
Do y'all think watanzania ni wajinga hivi?
Kwamba ni kubali tu kuwa nafasi za kazi sehemu fulani then niingie mkenge kulipia without really meeting with the boss?
Mbona nimeuliza swali la msingi?Umekosa attention kote uko ulikohangaika, umeona uje uanze ule ujinga wako, ukifikiri tutapoteza muda na wewe! Nenda kaanzishe huko manyuzi yako tutolee wazimu wako hapa!
Nenda kaanzishe uzi ukatoe elimu huko wasije kuomba hizi kazi, hakuna mtu amemuita mtu au amelazimishwa, wala hujaitwa hapa!Mbona nimeuliza swali la msingi?
Tena kwa faida ya member?
Maana mwisho wa siku watu wanaweza kuwa anakosa fursa kama hizi kwa kuwa na duku duku kama langu?
Kingine sijutumia lugha chafu, so usitwist maana ya kile nilicho uliza
Huoni kwamba itakuwa sio vyema muhusika kushindwa kutoa majibu?Nenda kaanzishe uzi ukatoe elimu huko wasije kuomba hizi kazi, hakuna mtu amemuita mtu au amelazimishwa? wala hujaitwa hapa!
Sio lazima narudia tena fanya mambo yako and stay the hell out of this thread!!
Am done!!
Tahira huyo dogo, yaani sijui yuko..Umekosa attention kote uko ulikohangaika, umeona uje uanze ule ujinga wako, ukifikiri tutapoteza muda na wewe! Nenda kaanzishe huko manyuzi yako tutolee wazimu wako hapa!
Mbona watu huwa wanatoa mrejesho PM, wanashukuru kama waliowaunganisha wamepatq au nafasi za kazi zimeshajaa ?Nenda kaanzishe uzi ukatoe elimu huko wasije kuomba hizi kazi, hakuna mtu amemuita mtu au amelazimishwa, wala hujaitwa hapa!
Sio lazima narudia tena fanya mambo yako and stay the hell out of this thread!!
Am done!!
Huu ni kama msaada tu kwa watu, sio guarantee ya kupata nafasi, kwahiyo mtu aistegemee kwamba tuna uhakika na anachokitaka au kukitegemea yeye!Mbona watu huwa wanatoa mrejesho PM, wanashukuru kama waliowaunganisha wamepatq au nafasi za kazi zimeshajaa ?
Hata akipata mtu mmoja out of thousand hiyo ni baraka kwa mtu aliyetuma tangazo.
Ni vile mambo ya PM hayatakiwi kuwekwa hadharani angeona 🐕 huyu 🤣
Wewe acha kujipa uspesho unakwepa maswali ya msingi a mbaya watu wanaweza kuwa wanatapeliwa alafu unasema najipa umuhimu?Yani anahahaha kila kona ya jf sijui nani alimdanganya ni wa muhimu kiasi hicho 🚮
Nyie mnakuwa watu washamba sana. Huwa mnadhani kila mtu ni wa kupiga pesa tu ama?Huu ni kama msaada tu kwa watu, sio guarantee ya kupata nafasi, kwahiyo mtu aistegemee kwamba tuna uhakika na anachokitaka au kukitegemea yeye!
I have no time to prove anything to a stupid person!
After all we ain’t paid shit!
We unataka kuheshimiwa na unajiita humble kwa ujinga gani huu ulioandika?Mbona watu huwa wanatoa mrejesho PM, wanashukuru kama waliowaunganisha wamepatq au nafasi za kazi zimeshajaa ?
Hata akipata mtu mmoja out of thousand hiyo ni baraka kwa mtu aliyetuma tangazo.
Ni vile mambo ya PM hayatakiwi kuwekwa hadharani angeona 🐕 huyu 🤣
Mjinga ni wewe usiye na akili na utulivu wa fikra ujue namna bora ya kujibu maswaliTahira huyo dogo, yaani sijui yuko..
In sugu voice... yake
We jamaa huna akili.Mjinga ni wewe usiye na akili na utulivu wa fikra ujue namna bora ya kujibu maswali
Unafikiri umetokea wapi hapo?. Umesoma mjadala ulipoanzia mpaka huyo kuropoka alicho ropoka?We jamaa huna akili.
MNAFIKI.
Hakuna mtanzani anayefanya kitu consistent bila kuwa na end goal.Kuhusu namba za simu kujirudia kwenye matangazo pia baadhi ya waajiri kutaka kupewa pesa . Hiyo ni mwombaji mwenyewe ajiongeze na ajue kusoma alama za nyakati (nani tapeli na nani mkweli) ukishusha lawama kwa middle men( hawa watumaji) sio sawa maana wao wanafanya kupost tu hawahusiki na lolote juu ya nafasi hizo za kazi . Yaani wao ni kama wajumbe, sasa usiue mjumbe😂