Nani anayependa kuona wengine wakitapeliwa?We wakitapelwa inakuhusu nini? Hunaga issue za kukuwazisha mbali na kuhangaika na watu huwajui?
usipoteze muda na hilo jinga, lina kazi ya kuunda ma ids mia mia na kutafuta attention masaa yote! linapenda kiki hili lijinga likikosa huko kote linaanza kuzunguka upya as if forum nzima ndio linamacho peke yake ka senge!We jamaa huna akili.
MNAFIKI.
Utumizi wa lugha chafu na matusi ndo kidhilisho tosha kuwa unacho kifanya hapa ni illegal na unatumia jukwaa kupata advantageusipoteze muda na hilo jinga, lina kazi ya kuunda ma ids mia mia na kutafuta attention masaa yote! linapenda kiki hili lijinga likikosa huko kote linaanza kuzunguka upya as if forum nzima ndio linamacho peke yake ka senge!
We jamaa huna akili.
MNAFIKI.
Hili ni shutuma kubwa sana.Nina Hakika kuna viumbe wanalizwa hela Kila kukicha humu
Huyu boya kuna namna inatakiwa adhibitiwe huu uzi asipate access ya kuuona au kuchangia kitu.usipoteze muda na hilo jinga, lina kazi ya kuunda ma ids mia mia na kutafuta attention masaa yote! linapenda kiki hili lijinga likikosa huko kote linaanza kuzunguka upya as if forum nzima ndio linamacho peke yake ka senge!
Hao hao ulio uwatag ndo wanapaswa kujua ukweli nimeuliza maswali ya msingi alafu wewe mpuuz unaanza kutukana matusi badala ya kujibu?Huyu boya kuna namna inatakiwa adhibitiwe huu uzi asipate access ya kuuona au kuchangia kitu.
Maana ana ujinga mwingi mpaka kero, huu uzi ni wa maswala ya kazi lakini ishu anazozileta humu ni tofauti kabisa.
JamiiForums huyu wa kujiita Gunner11 anaharibu kila jukwaa , tunawaomba mmdhibiti asipate access na huu uzi
Ongea na boss kubwa asap afanye jambo la msingi, sijisikii kujibizana upumbavu na psychos!Huyu boya kuna namna inatakiwa adhibitiwe huu uzi asipate access ya kuuona au kuchangia kitu.
Maana ana ujinga mwingi mpaka kero, huu uzi ni wa maswala ya kazi lakini ishu anazozileta humu ni tofauti kabisa.
JamiiForums huyu wa kujiita Gunner11 anaharibu kila jukwaa , tunawaomba mmdhibiti asipate access na huu uzi
Angalia nilicho andika nimesema kuna watu watakuwa wanapiga, sijasema nimeona wala kupigwa mimi maana mimi siwezi kuingia mkenge.Hili ni shutuma kubwa sana.
Hebu toa ushahidi wa hii shutuma yako.
Kama unashutumu watu bila kuwa na ushahidi ni jambo baya.
Hawa wanaopost huku hawalipwi na huwa wakiwa wana apply kazi zao basi na wao wanarusha na hapa ili mtu ikimfaa aiombe.
na sidhan kama wana nia ya kuibia watu hela.
Hebu toa ushahidi.
Na nikitolewa tu lazima niwekee wanajukwaa wote hiki macho jaribu kukikwepa na kukosa majibu yaliyo nyookaOngea na boss kubwa asap afanye jambo la msingi, sijisikii kujibizana upumbavu na psychos!
MkuuHakuna mtanzani anayefanya kitu consistent bila kuwa na end goal.
Najua umeelewa
Unajua ni kwanini nauliza haya maswali na wao wanaishia kutukana?Mkuu
Kama wewe tayari una ajira, acha wasio nazo wapambane kutafuta.
Usituvurugie Uzi.
Sasa mzee, hu uzi ulipofikia, ingekuwa kuna mtu amewahi kulizwa ungeona lalamiko lake, Ila uzi mzima hakuna lalamiko hata moja, sasa iweje ww useme kuna kupigwa hapa?Soma maswali na uelewe kilicho Uliza acha kuongea pumba
Nani anaguts za kuja kuanza kulia kaibiwa na wakati alikuwa anatafuta kazi? Na Kuna wengine hata hawataki kuja kujua kuna mchezo maana watatuma pesa na simu hazitapigwa, ina maana watajua kuwa hakuna kazi kumbe waliye mtumia pesa hausiki hata kidogo na kazi yenyeweSasa mzee, hu uzi ulipofikia, ingekuwa kuna mtu amewahi kulizwa ungeona lalamiko lake, Ila uzi mzima hakuna lalamiko hata moja, sasa iweje ww useme kuna kupigwa hapa?
Waliopigwa wapo wapi?Unajua ni kwanini nauliza haya maswali na wao wanaishia kutukana?
Ni kwasababu yawezekana kuna watu wanapigwa kweli.
Sio kwamba nawashutumu wao, ila huenda kinachotokea ndicho hicho via hizo namba wanazozitoa na kujirudia rudia katika kila poster ya tangazo hata kama ni kazi tofauti
Okay kama mnaamini hilo endeleeni kuaminiWaliopigwa wapo wapi?
Mbona hawajakuja hapa kusema
Akina nani haoNani anaguts za kuja kuanza kulia kaibiwa na wakati alikuwa anatafuta kazi? Na Kuna wengine hata hawataki kuja kujua kuna mchezo maana watatuma pesa na simu hazitapigwa