Una fani gani?
Mpe za uso mamnyong'ode keshazoea kudandia yasomuhusu mwana izaya huyu πππUmekosa attention kote uko ulikohangaika, umeona uje uanze ule ujinga wako, ukifikiri tutapoteza muda na wewe! Nenda kaanzishe huko manyuzi yako tutolee wazimu wako hapa!
Nimekwama kimara kwa wifi π kuna mvua za eliHebu usinichekeshe mie muda wa kulaza komwe huu kesho nikamtumikie caesarπ
Kinondon maeHizo mvua zinanyesha gaza tu sioπ
Kino ipi upo sho mambacho cc min -meMbona huku kukavu! Kwahiyo leo ni kutembeza dose tu sio?