Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Sijui niende Zanzibar kuuza genge.Tunatafuta kijana mmoja wa kuuza genge la kisasa zanzibar
✅Umri: 20-25
✅Chakula bure
✅Mshahara: Tsh 150,000
📞0725 110 177, 0799 529 422
Samahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms.Tunatafuta kijana mmoja wa kuuza genge la kisasa zanzibar
✅Umri: 20-25
✅Chakula bure
✅Mshahara: Tsh 150,000
📞0725 110 177,
ni sahihi,baadhi ya waleta matangazo humu ni MATAPELI,lakini Manyanza na Seran kwa kuwa wao wanatumiwa tu tangazo na kulihamishia humu inakuwa sio kosa lao,hivyo MATAPELI wamejaa humu wakijifanya wanatafuta vijawa wawape kazi kumbe ni MATAPELISamahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms.
Katika post kati ya 2 waliomba fedha kwa ajili ya kupatiwa nafasi. Kitu kingine nimekuja ku note namba zinazotolewa kwenye post nyingi ni za watu WALEWALE baada ya kuzipitia post nilizomtumia upande wa mawasiliano.
Swali: Mtu wa post ya bucha, hotel, kuuza juice nk kwenye maeneo tofauti ni boss mmoja?
Kama kuna utaratibu wa udalali ni vema wawajuze watoa post huku. Asante
Nawasilibaadhi ya nafasi zinazoletwa humu waletaji ni MATAPELI,na kwa kuwa Seran na Manyaza wao wakitumiwa Tangazo wanalipaste tu humu inakuwa sio kosa lao
Nadhani watusaidie kupeleka ujumbe kwa wenye nafasi za kazi.Samahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms.
Katika post kati ya 2 waliomba fedha kwa ajili ya kupatiwa nafasi. Kitu kingine nimekuja ku note namba zinazotolewa kwenye post nyingi ni za watu WALEWALE baada ya kuzipitia post nilizomtumia upande wa mawasiliano.
Swali: Mtu wa post ya bucha, hotel, kuuza juice nk kwenye maeneo tofauti ni boss mmoja?
Kama kuna utaratibu wa udalali ni vema wawajuze watoa post huku. Asante
Nawasilisha
Ni sahihi ni vema na wao wakapata muda wa kujiridhisha kutoka kwa mtoa tangazo ikiwa ni yeye anayetangaza nafasi hiyo au DALALI. lakini wakague upande contact, jaribu kupitia post karibia nyingi contact ni namba zilezile wakati kazi ni tofauti na location za kazi ni tofauti.ni sahihi,baadhi ya waleta matangazo humu ni MATAPELI,lakini Manyanza na Seran kwa kuwa wao wanatumiwa tu tangazo na kulihamishia humu inakuwa sio kosa lao,hivyo MATAPELI wamejaa humu wakijifanya wanatafuta vijawa wawape kazi kumbe ni MATAPELI
Sahihi 🤝🏻✅Nadhani watusaidie kupeleka ujumbe kwa wenye nafasi za kazi.
Hao wawakala waliowapa dhamana ya kuweka mawasiliano yao ni miyeyusho.
Maombi yatumwe kwa namba za waajiri moja kwa moja.
Asante sana kwa kutoa taarifa tutalifanyia kazi! Unaweza kunitag hizo post niziondoe mara moja!Samahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms.
Katika post kati ya 2 waliomba fedha kwa ajili ya kupatiwa nafasi. Kitu kingine nimekuja ku note namba zinazotolewa kwenye post nyingi ni za watu WALEWALE baada ya kuzipitia post nilizomtumia upande wa mawasiliano.
Swali: Mtu wa post ya bucha, hotel, kuuza juice nk kwenye maeneo tofauti ni boss mmoja?
Kama kuna utaratibu wa udalali ni vema wawajuze watoa post huku. Asante
Nawasilisha
Ngoja nikuibie siri hao ni madalali wa kazi, fatilia vizuri wanapataja sana Kigamboni ofisi yao ilipoSamahani si kwa nia mbaya, hizi kazi zinazotangazwa hapa nimejaribu kumpa zaidi ya post 4 mtu ninaye mtafutia kazi (Niliweka na uzi wake humu) awatafute lakini namba hazipokei simu na kujibu sms.
Katika post kati ya 2 waliomba fedha kwa ajili ya kupatiwa nafasi. Kitu kingine nimekuja ku note namba zinazotolewa kwenye post nyingi ni za watu WALEWALE baada ya kuzipitia post nilizomtumia upande wa mawasiliano.
Swali: Mtu wa post ya bucha, hotel, kuuza juice nk kwenye maeneo tofauti ni boss mmoja?
Kama kuna utaratibu wa udalali ni vema wawajuze watoa post huku. Asante
Nawasilisha
Ndio ni kwa madalali aka mawinga wa kazi na dalali hafanyi kazi yake bure utatoa njururuKumbe pale wanavyosema “fika kigamboni ofisi ya kazi” ni ofisi kwao😂🤦🏽♂️