Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Sawa, kwahiyo unataka tu za ulinzi? Yani ule ulinzi wa kusimama getini?
😂😂
hapana mkuu ni ule wa hotelin, casino na sehemu nyingine zilizochangamka nilishawahi kufanya pale serena hotel zina hela sana nje ya mshahara
 
😂😂
hapana mkuu ni ule wa hotelin, casino na sehemu nyingine zilizochangamka nilishawahi kufanya pale serena hotel zina hela sana nje ya mshahara
Oohh ushamba huu😅😅 nimejiuliza mara mbili mbili kidogo namie niombe nikajua kuna deal mpya🙆🏽‍♀️ Why sasa uliacha aisee.. unipe title yake nikiona nakushtua..
 
Oohh ushamba huu😅😅 nimejiuliza mara mbili mbili kidogo namie niombe nikajua kuna deal mpya🙆🏽‍♀️ Why sasa uliacha aisee.. unipe title yake nikiona nakushtua..
kama hii hapa
 
Mkuu kwanini hutoi connection usifanye ivo fanya kwa moyo mmoja mtu mmoja asifanye vijana tufe kwa njaaa em funguka kaka
Omba mzee direction hiyo hapo nimekupa. Ukisubir ubebwe utachelewa sana mzee konekshen natoa na hela siku hizi
 
Omba mzee direction hiyo hapo nimekupa. Ukisubir ubebwe utachelewa sana mzee konekshen natoa na hela siku hizi
Sawa mimi ntakupa Hela kaka niambie nikufate DM au hapa hapa unajua kwann nakuforce kwasababu najua KAZI na connection zako ni uhakika kaka nielekeze nikulipe sawa ty,
 
 

Attachments

  • A2C281EB-8506-4595-A39B-83D960554123.jpeg
    61 KB · Views: 24
  • 5CB83EB9-1354-4157-B3B1-8747196101B9.jpeg
    37.2 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…