Nimeona IT nikaja chapIT specialist needed the location is zanzibar , at school campus contact +255 718 637 300
Ila ss ameomba sn na usaili sn mpk ananiambia anechoka...Zipo sis panda juu utaona tu
Am in same situation, asichoke! Apambane sana! Nikiwa napata kazi za aina hiyo ntakuwa napost hapa ziko nyingi achangamke asikate tamaa, na pia ajaribu kuomba ata za kawaida sio lazima aanze na za profession yake.. itamkuta mbele kwa mbele huko..Ila ss ameomba sn na usaili sn mpk ananiambia anechoka...
Sshv winfaAm in same situation, asichoke! Apambane sana! Nikiwa napata kazi za aina hiyo ntakuwa napost hapa ziko nyingi achangamke asikate tamaa, na pia ajaribu kuomba ata za kawaida sio lazima aanze na za profession yake.. itamkuta mbele kwa mbele huko..
Mwambie aombe Zanzibar. Wabongo wengi waliokuja zanzibar hawana mipango ya kurudi nikiwemo mm. Kunirudisha bara labda maiti au niumwe sana na matibabu yake kurud baraIla ss ameomba sn na usaili sn mpk ananiambia anechoka...
JmnMwambie aombe Zanzibar. Wabongo wengi waliokuja zanzibar hawana mipango ya kurudi nikiwemo mm. Kunirudisha bara labda maiti au niumwe sana na matibabu yake kurud bara
KwakweliHebu nipe namm michongo huko huenda nisirudi tena!
Nilikuwa na uzi mkubwa sana wq kaz humu jf. Watu kibao walpataga, mwisho ule uzi niliufunga kwa ujuaji wa jamaa flan flani hum jf. Ila omba kaz zanzibar utanishkuruHebu nipe namm michongo huko huenda nisirudi tena!
πππππ nimecheka hadi machoziiiiii.Habari dokta kuna boss anahitaji kijana jinsia ni kiume aliyekuwa serious kwaajili ya kudai madeni kwa wateja ambao awajalipa mikopo muda mrefu .na kufanikisha wateja hao wanalipa .Kazi ni ya muda mfupi .
Mawasiliano na boss 0750 499476
Watu wana nongwa sana! Ss ahuko zenj sijajua naomba kazi ipi so far..Nilikuwa na uzi mkubwa sana wq kaz humu jf. Watu kibao walpataga, mwisho ule uzi niliufunga kwa ujuaji wa jamaa flan flani hum jf. Ila omba kaz zanzibar utanishkuru
Yoyote omba mz3e muhim kuanza. Safar haiwez kuwa fupi, lakin sio ndefu mana kaz za zanzbar nying ni kujua kiingereza tuWatu wana nongwa sana! Ss ahuko zenj sijajua naomba kazi ipi so far..
Mahi nimechekaa hadi mbavu zinauma, nyie watu wako serious hivii?? KhaaahWale hawachekeshi wanakusaka mtaa kwa mtaaπ€£π€£ na hawana ata hiyo miili ni vidogo dogo tu vipo serious hivi sijui ni wahaπ€