Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Hii kazi nayo inahitaji CV? duuuh
 
Basi kuna mdada analipwa 100k kuuza duka la dawa, na ana Dip Pharm.
Kitaa kigumu weyeeee
Hapo lazima ananunue dawa zake kwa mauzo yako atumie duka lako kujikimu ,njia nzuri ni mkabidhi afnye kila kitu na kujilipa, kununua mzigo wa dawa, mpaka na kodi alipe yeye aweke tu kiasi fulani kwenye account yako labda kwa wiki au kwa mwezi
 
Hii mbinu kwa Bongo mbona mwezi na biashara inakufa. Yaani umpe uhuru mbongo? Si anakufilisi kabisaaa. LOL
 
Hii mbinu kwa Bongo mbona mwezi na biashara inakufa. Yaani umpe uhuru mbongo? Si anakufilisi kabisaaa. LOL
Nimefanya hivyo na sijaona mapungufu yoyote ndani ya miaka kumi sasa , huwa naingia nao mikataba
 
Outdated post
 
Cha ajabu watu wanafanya na wanalipwa sana hii mishahara!
Watakuibia bure tu, mtu anakuja na begi mgongoni kumbe kaweka dawa zake. Mteja akija anauza zake kwemye begi za kwako zimekaa pale na mshahara umlipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…