MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mh nalia na moyo mwenzako alinipa maneno matamu nikasema dunia si ndiyo hii ,saa ngapi asiishie jukwaani tu akagoma kuja PM ,nimekesha natuma meseji kwake ,za hivi .Mkwe afanye namna tuache kujiliza kwenye nyuzi aisee😂 jana sijaona soda yangu kwani mliishia wapi? Eti mkwilima MENEMENE TEKERI NA PERESI
Mwanaume muongo wewe uwiiiiiiMh nalia na moyo mwenzako alinipa maneno matamu nikasema dunia si ndiyo hii ,saa ngapi asiishie jukwaani tu akagoma kuja PM ,nimekesha natuma meseji kwake ,za hivi .
Wewe
Dada
Mimi ndiye yule ndugu wa seran
Wewe dada tuzungumze
Wewe dada mimi sina majukum njoo tutumie wote
Ila zote hajajibu namuona tu jamvini naogopa hata kumquote
Zama PM chap kabla sijapiga simu kwa bi mkubwa ,ungekuja vipi bila kushusha hzi habari zanguMwanaume muongo wewe uwiiiiii
Kwann unasema uongo kwenye haraiki mbele ya mama
An way tuyamalize wenyewe darling🫢
Usinisemee nitakupa zawadi🥰
Kuliko nisiingie Jf bora nilale njaa😂Zama PM chap kabla sijapiga simu kwa bi mkubwa ,ungekuja vipi bila kushusha hzi habari zangu
Hapana bby ,duh nifanyeje mimi jamaniKuliko nisiingie Jf bora nilale njaa😂
New babe 😍 kumbe ni mkali hivi
Unajua chakufanya😎Hapana bby ,duh nifanyeje mimi jamani
Sijapenda Hata najua basi usiniudhi!!🙄Mh nalia na moyo mwenzako alinipa maneno matamu nikasema dunia si ndiyo hii ,saa ngapi asiishie jukwaani tu akagoma kuja PM ,nimekesha natuma meseji kwake ,za hivi .
Wewe
Dada
Mimi ndiye yule ndugu wa seran
Wewe dada tuzungumze
Wewe dada mimi sina majukum njoo tutumie wote
Ila zote hajajibu namuona tu jamvini naogopa hata kumquote
😂😂Sijapenda Hata najua basi usiniudhi!!🙄
Sawa tutapost hapa kama zikotokea..Nimesoma bachelor of laboratory science and technology.
Ninaweza kufanya kazi sehemu zifuatazo.
1. Viwandani
-Nafanya kazi kama laboratory technician (Scientist)
-Nafanya kazi kwenye quality assurance and quality control
- Laboratory manager
2. Migodini
- nafanya kazi kama laboratory scientist kwenye mining plants
3. Taasisi kama Tanzania Agricultural Research Institute(TARI), TAFORI, nafanya kazi Kwa nafasi ya Laboratory Scientist,
4. Idara ya maji, nafanya kazi kama laboratory scientist nafanya treatment of water
5. TBS pia nafanya kazi kama laboratory scientist
OYA DOGO ANAOMBA KAZI HUYO
Daaah 🙏🙌🙌🙌🙌🙌Tafuta mtaji kajifiche anza kulima tu matunda utayaona baadaye
Wamesahau kusema awe n Uvccm
Msibague kazi, naona Poor Brain umebadilisha reaction haraka mkuu kwema?😆Wamesahau kusema awe n Uvccm
Amebadili mana anajua kigezo muhimu n kipiMsibague kazi, naona Poor Brain umebadilisha reaction haraka mkuu kwema?😆