Kwahiyo mshahara ni mdogo au mkubwa?Kuna media naijua wanalipa hiyo pesa kwa video Editor, hapa Tz n hiyo media tuu, hakuna media nyngn inayoweza kukulipa hvy.
Sasa huyo hapo n private afu pia sio media ndo mana napata wasiwasi na huo mshahara.
N mkubwa kwa private tena ikiwa sio media.Kwahiyo mshahara ni mdogo au mkubwa?
Hamna n UDOM tena diploma.Hapo sawa, umesoma ud mbaga maana mnapendaga malipo makubwa nyie😃
Wiki ya pili sasa nipo mapumziko naumwa haswaaNiko poa! Habari gani huko?
Tujifunze kubalance expectations, hii kitu inaua moyo aisee.Kupata kazi ni kazi kuliko kazi yenyewe! Wakati mtu unatafuta ajira rasmi, what should you do ili stress na anxiety visikumalize?
Niaje jamaa, nichek PM nikupe mchongoUkipata tangazo ra nafasi ya murinzi au mugambo uweke pia. Nahitafuta
Macho mamaaa vimachomacho vinasumbuaPole sana shida nini?
Sawa mukuu, usitangaze rara nayo iri uikomoe Hiyo kaziNina kaz rakini siitangasi kwa watu wotre nataka ikae wazi tu virevire iri niikomoe. Hata ndugu sipereki wapambane na hari zao
Hakuna trabu mkuruSawa mukuu, usitangaze rara nayo iri uikomoe Hiyo kazi