Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Hiyo ni ya hapohapo unauza furnitures sio za kutafuta na wateja ni matajiri tu na wanakuja wenyewe sio hohehae maana kuna sofas za kuanzia mil 4 mpaka mil 100
Ila c ndo mpaka uwe na elimu ya sales au? Mana c unajua tena mm n TV Production 😭
 
Hello

Nahitaji sales wa kike 5 wenye uzoefu wa kuongea na wateja, wenye mwonekano eneo la kazi ni k/koo katika maduka ya vipodozi, malipo ni 300,000 kwa mwezi,

Tuma picha na jina lako kwa namba 0769516170
Ushawapata???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…