Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Ila Kuna baby girl zina sura kama yangu, ahh hawa kweli n jobless wenzangu πŸ˜‚
Pumbavu wewe🀣 unatukana mamba kabla hujavuka mto! Subiri utafute mke ndio utajua hujuiπŸ˜ƒ
 
Endelea kuotea! Umekaa chini kukagua members 1000+🀣

Anza kumtext mmoja mmoja mpaka unipate!
Ila c naona ukijiunga pale kunakuwa na notifications Kwamba namba fulani imejiunga, Sasa check waliojiunga siku mbili hizi hapo utakuta kuna namba inaishia na 13 ndo yangu.

Ila hii ishu n ujinga kudadeki πŸ˜‚
 
Namba yako ninayo usijali na siingii kila mara hukoπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…