ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kipenzi changu mdogo wangu mzuriiSeran na ShesRise_1 na wengineo naomba mniombee kwa Sir God kati ya hizi tatu, papatikane kheri
Leo ratiba yangu n kusambaza CV hizo sehemu tatu
View attachment 3585093
Hapo pa jana ngoja ngoja kwanza šKila la kheri mkuu pelekea na pale nilipokwambia jana kesho tu unaanza kazi muda unaotafuta huku unajishikiza pengine mkuu! Mungu akutangulie sana mbaga!
Tawire š¤Kipenzi changu mdogo wangu mzurii
Kila la kheri kwako š¤
Sio kwamba now Sina kazi, nna kazi Ila Kuna some changamoto ndo mana pia najaribu kuchek na huko pengine ambapo ntaenda leo.Kazi ya kukaa tu tena hauko peke yako na wengine wapo hutakiš¤
Kweli kabisa,Madam Seran kazi za Mara hakuna nimepita Uzi wote kazi nyingi zipo nje ya mkoa huu ningepata kama ya kusimamia Nyumba, mashamba, ingekuwa nzuri sana Mimi ni me darasa la 7
Kazi ya kukaa tu tena hauko peke yako na wengine wapo hutakiš¤
Ila tafadhari sana mzuie ShesRise_1 asiingie kwenye huu uzi, akijua sina mahela wala kazi, nitaachika mazima.Hahaaa kuwa mpole utapata tu!
We jama tafuta pesa mwanaume bila hela ni zuchuIla tafadhari sana mzuie ShesRise_1 asiingie kwenye huu uzi, akijua sina mahela wala kazi, nitaachika mazima.
Two years2 hiyo uhasibu una experience ya muda Gani????
Uwe unajibu mapema. Nimekuuliza Jumatano ujajibu Ijumaa na deadline imeshapitaTwo years
Uko poa?Tunawataka
Sijamgombeza, nimekwambia ukweli Kuna nafasi ya HR hapa, ilikuwa unataka mtu mwenye uzoefu wa mwaka mmoja.Jamani unagombezaš«¢ huko kazini si ndio na vibao juu!
Kuna dogo hapa kamaliza Digrii ya LLB na kapitia School of Law ila Bado hajapewa chetTunawataka