Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Tunaitaji mwalimu wa mathematics โœ… mzoefu kufundisha shule ya English medium mshahara ๐Ÿ’ฐ600k location ๐Ÿ“Œ Kimara CALL 0749234577
 
Mwalimu wa Mathematics๐Ÿ“Œ location ๐Ÿ“Goba centerโœ… Awe mzoefu mshahara๐Ÿ’ฐ 400k , 500k Call 0749234577
 
POOL TABLE Anaitajika Kijana pool boy mwenye uzoefu ๐Ÿ’ฐmshahara maelewano na boss locations๐Ÿ“ Mbezi Beach
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nilichelewa kuiona hi thread, nmekuja kuona matangazo yalokuwepo yote yalikuwa Tyr deadline ya kuapply ishaisha, na yaliyopo yapo irrelevant na profession yangu, nikaamua kusubscribe ajabu hakuna matangazo tena๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜ƒ
Eenh...
Au kuwa jobless ndo kazi yenyewe, nyieee๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿšซ
 
kazi juu ya kazi ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Mm hata nikionaga tangazo linalonihusu na na limekuwa deadline, Hua Naomba hvy hvy, watajua wnyw Huko
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ngj nifanye hivyo sehemu moja
Na fuata masharti yote walioweka kwenye kuomba hy kazi, usije ukasema kwakuwa imepitwa Na wakat hvy ngoja nitume kwa kubahatisha hvy nisiandae application zangu serious.

Ukisikia ujobless Ndo hvy, unafungua mlango ulioandikwa closed Ili ujaribu bahati Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ