Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Shem hongera kwa hili wazo lako.

Usichoke wala kukata tamaa.
Na pale siku Ukichoka kupost huku unafungua web yako unatuma Link tu na watu wanafuata kuangalia kule.
You never know.
One day itakulipa.

Be blessed shem.
Web zimeshakuwa nyingi sana aisee, maybe someday u never know..
thanks anyways..
 
Boss anahitajika mdada mfanya kazi wa ndani,mwenye hofu ya Mungu kazi ipo sinza na kazi ni kwa muda wa miezi sitaa tuu ,mshahara ni 150k per month.
Contact what's up
only 0625249191
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…