NAFASI ZA KAZI-Mossa na Shin-Bet wanahitaji watu huko Gaza!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Shirika la usalama wa ndani la Israel Shin Bet linafanya kazi ya kuajiri Wapalestina huko Gaza.
Wananchi wa Gaza wanaripoti kupokea vipeperushi na noti za shekeli 20 zikiwa na SIM kadi na nambari ya simu ambapo unaweza ku lata "Kapteni Abu Haitham," mhudumu wa Shin Bet kaskazini mwa Gaza.

Kipeperushi kingine kilichopokelewa na Wapalestina wa huko kilisomeka:

"Wakazi wa Shati [kambi ya wakimbizi], ni wakati wa kubadilisha maisha yenu. Ni lazima Miami’s ni nani atakayewasaidia kweli na kuboresha maisha yenu. [Kiongozi wa Hamas wa eneo hilo] Al-Hawajri na wapambe wake wamewatelekeza na kuwaacha nyinyi na watoto wenu mkiwa na njaa. Mnataka kurekebisha njia yenu na kutusaidia? Mnataka maisha ya baadaye yenye hadhi? Je, mnataka ulinzi? Kisha mwite Kapteni Haitham."

“my take” Kwenye tatizo lolote wewe peny eza RUPIA na mambo yote yatanyooka!!!
IDF wangesubiri kidogo kama mwezi mzima wakae na Njaa ndipo Itoke offer kama hii Mbona watawapata wengi sana na hapo ndipo Hamas watapigwa sana!,,
 
Attachments

  • IMG_2651.jpeg
    IMG_2651.jpeg
    165.9 KB · Views: 30
  • IMG_2656.jpeg
    IMG_2656.jpeg
    60 KB · Views: 31
dalili ya kushindwa,silaha zinaisha watu hawataki kuiacha ardhi yao sasa itabidi muwarubuni na maneno matamu...hivi hapo israeli kila sehemu imeboreheka?watu wote wanaishi vizuri kwa amani?inawezeana vp kuboresha maisha ya watu wengine wakati watu wako hali zao sio nzuri...UNAMLAZIMISHA KUMBORESHEA MTU MAISHA!!!
HII SIJAPATA KUONA WAYAHUDI VICHWA MAJI

WAO NDO WANAPIGA NA WAO NDO WANASHINDWA...AJABU SANA
 
Shirika la usalama wa ndani la Israel Shin Bet linafanya kazi ya kuajiri Wapalestina huko Gaza.
Wananchi wa Gaza wanaripoti kupokea vipeperushi na noti za shekeli 20 zikiwa na SIM kadi na nambari ya simu ambapo unaweza ku lata "Kapteni Abu Haitham," mhudumu wa Shin Bet kaskazini mwa Gaza.

Kipeperushi kingine kilichopokelewa na Wapalestina wa huko kilisomeka:

"Wakazi wa Shati [kambi ya wakimbizi], ni wakati wa kubadilisha maisha yenu. Ni lazima Miami’s ni nani atakayewasaidia kweli na kuboresha maisha yenu. [Kiongozi wa Hamas wa eneo hilo] Al-Hawajri na wapambe wake wamewatelekeza na kuwaacha nyinyi na watoto wenu mkiwa na njaa. Mnataka kurekebisha njia yenu na kutusaidia? Mnataka maisha ya baadaye yenye hadhi? Je, mnataka ulinzi? Kisha mwite Kapteni Haitham."

“my take” Kwenye tatizo lolote wewe peny eza RUPIA na mambo yote yatanyooka!!!
IDF wangesubiri kidogo kama mwezi mzima wakae na Njaa ndipo Itoke offer kama hii Mbona watawapata wengi sana na hapo ndipo Hamas watapigwa sana!,,
Ungekuwa uko sawa kiakili na kimwili usingeleta taarifa kama hizi za aibu kwa mashoga zako.
 
Back
Top Bottom